Kati ya hii miamba sita (6) nani ana maslahi mazuri kuliko wengine?

Kati ya hii miamba sita (6) nani ana maslahi mazuri kuliko wengine?

TAMISEMI ni TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA- Jaffo.
Ajira Portal ni WIZARA YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA - Mkuchika.
Hata hao wanapita ajira portal/utumishi kama ajira nyingine zote
Asante sana mkuu kwa maelezo yako mazuri..nilichanganya..inaonekana una ndoto za kufanya kazi na moja wapo wa miamba...basi nakuombea sana na tuzidi kuombeana na kupambana maana hata mimi ni ndoto yangu pia..But i hope itatimia one day kwa uweza wa Mungu.
 
Hao ndio wanalipwa sisi wengine huku ni kama tunapewa posho tu
 
Kati ya hawa washua sita nani ana maslahi mazuri kuliko wengine kwenye mshahara, posho, overtime na mazingira bora ya kazi.
1. BOT
Bank of Tanzania.

2. TPDC
Tanzania Petroleum Development Corporation.

3. TCRA
Tanzania Communication Regulatory Authority.

4. TPA
Tanzania Port Authority.

5. TRA
Tanzania Revenue Authority.

6. TANAPA
Tanzania National Park

Kama unajua tushirikishe kama hujui basi soma comment za wengine. Uzi huu utasaidia vijana walioko masomoni.
Hivi vijana bado wanamatumaini ya kusubili ajira!!
Sio sahihi,ukitoka chuo,fanya yote mawili saka ajira(ambayo kuipata ni 30%),wakati huo huo,cheki mishe zingine

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Kuna zile ajira 400 za TRA interview ilifanyika DUCE, kuna jamaa yangu alipata ila anasema salary walianza na laki 9.6
Hata 1mill haikufika sijui alikuwa ananidanganya yule jamaa?
Exactly
 
Halafu wengi hamzijui NGOs zile kubwa, hela nje nje
 
Halafu wengi hamzijui NGOs zile kubwa, hela nje nje
Nikweli usemacho mfano Geita Gold Mine (GGM) ila hapa tunaongelea taasisi za serikali tu. Hao wa NGO tutawajadili siku nyingine
 
Back
Top Bottom