Kati ya hii miamba sita (6) nani ana maslahi mazuri kuliko wengine?

Kati ya hii miamba sita (6) nani ana maslahi mazuri kuliko wengine?

Ndio maana watu mnachelewa kupata kazi anyway wote hao hawana pesa maana pesa kuna private company zinalipa mkwanja mrefu kishenzi na allowance za kutosha na trip kibao sema watu wanataka kazi serikalini na mashirika yake
 
Figure za TANAPA sijui ila ninachojua kuna dogo aliajiriwa pale kama mlinzi mwaka juzi alianza na laki 9 kama salary.
Bado house allowance, transport allowance e.t.c
Kuzuri huko ila Kupata sasa..!!
 
Kwenye awamu hii TANAPA wanaisoma namba. Zile posho walizokuwa wakijigawia kwishney



JESUS IS LORD
 
Nchi yetu ni masikini tu hakuna sijui nani anapiga hela wala nini wote tuko kundi moja tu masoko hayohayo barabara hizohizo na corona hii hata hao mnaowasifia wakiugua tunabanana humuhumu kupiga nyungu ulaya hakanyagi mtu maana tumeshaharibu mahusiano yetu na Dunia kutokana na tabia zetu na kujifanya tunajua.
 
Tanapa Askari mwenye cheti cha Basic tu aliyesoma pale Pasiansi mwanza kwa mwaka moja anaanza na Basic Salary ya Million 1.2
 
Tanapa Graduate anaanza na 3 p
Point something
Tulipokuwa mlimani kuna jamaa alikuwa anasoma wildlife ana one ya 7 PCB. Kila mtu anamwambia kwanini hujaenda medicine Muhimbili anacheka tu kumbe alikuwa anajua anachokifanya.
Waliotaka sifa ya kuitwa dokta wanamgwaya sasa hivi
 
Back
Top Bottom