- Thread starter
- #141
Nimeitaja hapo TPDCUmesahau na lile shirika la petrol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeitaja hapo TPDCUmesahau na lile shirika la petrol
Kila mtu anasomea kile anachokipenda, sio kufuata maslahi. Taaluma ni wito.Tulipokuwa mlimani kuna jamaa alikuwa anasoma wildlife ana one ya 7 PCB. Kila mtu anamwambia kwanini hujaenda medicine Muhimbili anacheka tu kumbe alikuwa anajua anachokifanya.
Waliotaka sifa ya kuitwa dokta wanamgwaya sasa hivi
Tulipokuwa mlimani kuna jamaa alikuwa anasoma wildlife ana one ya 7 PCB. Kila mtu anamwambia kwanini hujaenda medicine Muhimbili anacheka tu kumbe alikuwa anajua anachokifanya.
Waliotaka sifa ya kuitwa dokta wanamgwaya sasa hivi
Tulipokuwa mlimani kuna jamaa alikuwa anasoma wildlife ana one ya 7 PCB. Kila mtu anamwambia kwanini hujaenda medicine Muhimbili anacheka tu kumbe alikuwa anajua anachokifanya.
Waliotaka sifa ya kuitwa dokta wanamgwaya sasa hivi
Ahsante mkuu kwa mchango wako, vipi kuhusu NIMR na TANAPA?Mishahara kwa sasa inayibamba kwa mashirika ya umma,
1; TCRA
2. TASAC
3.TPDC
4.TANTRADE
5.BOT
Halaf ndo unakuja hayo mashirika mengine Hapo, taasisi nyingi kwa ofisa anayeajiriwa hutumiaga mshahra wa 1.36,hayo mataasisi uliyoyataja mengi yanarange above ya hii i'la haizidi 1.5, i'la haya niliyoyaorodhesha salary zake ndo zinaanzia zaidi ya 1.6 kwenda mbele...hiyo Ni kwa mujibu wa udadisi wangu mdogo
Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
Kawaida tu haoMbona mmewasahau TEETH wazee wa vipepeo weusi
Hulali njaa ila utaishi kawaida sana labda uibe dawa Mama Gwajima akudake. Maana 1.4mill ikikatwa na bodi ikiingia unabaki na laki 8-9.Kumbe kuna kozi ziko poa..
Udaktari kwa sasa hauna ishu umaskini nje nje sema hulali njaa hata kama hujaajiriwa serikalini
Hulali njaa ila utaishi kawaida sana labda uibe dawa Mama Gwajima akudake. Maana 1.4mill ikikatwa na bodi ikiingia unabaki na laki 8-9.
Hapo ukisema tu upange nyumba laki 3 umekwisha
Kama amewaruka ww warukieMbona walimu na polisi umewaruka?
Mkuu Ongeza na NSSF na wale wanaofanya kazi katika mhimili uleee uliojichimbia chini zaidiKati ya hawa washua sita nani ana maslahi mazuri kuliko wengine kwenye mshahara, posho, overtime na mazingira bora ya kazi.
1. BOT
Bank of Tanzania.
2. TPDC
Tanzania Petroleum Development Corporation.
3. TCRA
Tanzania Communication Regulatory Authority.
4. TPA
Tanzania Port Authority.
5. TRA
Tanzania Revenue Authority.
6. TANAPA
Tanzania National Park
Kama unajua tushirikishe kama hujui basi soma comment za wengine. Uzi huu utasaidia vijana walioko masomoni.
Mmekaaa mnadanganyana vyuoni, sasa unataka majibu apa. Komaaa tafuta connection, pesa Zitakufata hata kitandaniKati ya hawa washua sita nani ana maslahi mazuri kuliko wengine kwenye mshahara, posho, overtime na mazingira bora ya kazi.
1. BOT
Bank of Tanzania.
2. TPDC
Tanzania Petroleum Development Corporation.
3. TCRA
Tanzania Communication Regulatory Authority.
4. TPA
Tanzania Port Authority.
5. TRA
Tanzania Revenue Authority.
6. TANAPA
Tanzania National Park
Kama unajua tushirikishe kama hujui basi soma comment za wengine. Uzi huu utasaidia vijana walioko masomoni.
Unamaanisha wale wanaovaa suti nyeusi na miwani pamoja earphone nyeupe?Mkuu Ongeza na NSSF na wale wanaofanya kazi katika mhimili uleee uliojichimbia chini zaidi
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mfano?Mmekaaa mnadanganyana vyuoni, sasa unataka majibu apa. Komaaa tafuta connection, pesa Zitakufata hata kitandani
Tunalipa ada ili ije ijilipeKumbe huwa mnasomea mishahara? No wonder kuna ombwe la uwajibikaji na weledi.
Kwanini watikise kichwa?Wanaofanya kazi huko wqkipita hapa wanatikisa vichwa tuuu wakisikitika...