- Thread starter
- #101
Mimi naona kitengo cha ovyo kwa TRA ni secretary tuKitengo ulichopo ndio kitaongea hapo, unaweza kuwa TRA kitengo cha ovyo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi naona kitengo cha ovyo kwa TRA ni secretary tuKitengo ulichopo ndio kitaongea hapo, unaweza kuwa TRA kitengo cha ovyo tu
Ipi?mbona sekta yangu haipo
Wanatoa mapendekezo bodi ikipitisha tu mzigo unaongezeka sio sisi wengine hadi ipite bungeni ijadiliwe ipigiwe kura halafu ongezeko la 31,000/=Hao hawalipwi, bali wanajilipa wenyewe kwa scale zao wanazojipangia.
Unashangaa nini?
Pesa hakuna uku msijidanganye private mshahara wake ni 490k ukijumlisha 350k ni kama 800k ivi amna kitu...Jwtz wamesahaulik
TanapaKati ya hawa washua sita nani ana maslahi mazuri kuliko wengine kwenye mshahara, posho, overtime na mazingira bora ya kazi.
1. BOT
Bank of Tanzania.
2. TPDC
Tanzania Petroleum Development Corporation.
3. TCRA
Tanzania Communication Regulatory Authority.
4. TPA
Tanzania Port Authority.
5. TRA
Tanzania Revenue Authority.
6. TANAPA
Tanzania National Park
Kama unajua tushirikishe kama hujui basi soma comment za wengine. Uzi huu utasaidia vijana walioko masomoni.
kwa Serikalini sawa, maana nishakuwa finance department kampuni moja ya simu Tz,FD na vice wake jumla ya mshahara wao ilikua 72.5 million, hapo bado allowances .Nikweli usemacho mfano Geita Gold Mine (GGM) ila hapa tunaongelea taasisi za serikali tu. Hao wa NGO tutawajadili siku nyingine
TAMISEMI wanaongoza kwa umasikini, wanawake kugongwa sana na ma boss wao Ili wapate ahueni ya kupata upendeleo wa Safari, semina to mention fewMimi naona kitengo cha ovyo kwa TRA ni secretary tu
Huko ni kwa wala rushwa tu hakuna cha maslahi mazuri, kama na wewe unapenda hayo mambo patakufaaBANDARINI NA TRA nasikia wanapiga maslahi mazuri sana mkuu, hao wengine siajapata taarifa zao kivile
Mazingira bora ya nazi au ya kazi?
AfyaIpi?
TAMISEMI njaa tupu fikiria engineer mzima anakula laki 9.4 sawa na mlinzi wa getini TANAPATAMISEMI wanaongoza kwa umasikini, wanawake kugongwa sana na ma boss wao Ili wapate ahueni ya kupata upendeleo wa Safari, semina to mention few
Huko nako kawaida tu hamko kwenye kundi la miambaAfya
Hizo kampuni za simu wanalipana kwa dolakwa Serikalini sawa, maana nishakuwa finance department kampuni moja ya simu Tz,FD na vice wake jumla ya mshahara wao ilikua 72.5 million, hapo bado allowances .
Jamani FD ni Finance Director
PossibleTanapa
Huyo jamaa akipita Lugalo akiona magari yamepaki anaona ndio mambo safi ila hajui ya chini ya paziaPesa hakuna uku msijidanganye private mshahara wake ni 490k ukijumlisha 350k ni kama 800k ivi amna kitu...
Hawa jamaa hawa acha tuAchana kabisa na TPDC hatari sana ushahidi ninao...