Kati ya hii miamba sita (6) nani ana maslahi mazuri kuliko wengine?

Kati ya hii miamba sita (6) nani ana maslahi mazuri kuliko wengine?

Kati ya hawa washua sita nani ana maslahi mazuri kuliko wengine kwenye mshahara, posho, overtime na mazingira bora ya kazi.
1. BOT
Bank of Tanzania.

2. TPDC
Tanzania Petroleum Development Corporation.

3. TCRA
Tanzania Communication Regulatory Authority.

4. TPA
Tanzania Port Authority.

5. TRA
Tanzania Revenue Authority.

6. TANAPA
Tanzania National Park

Kama unajua tushirikishe kama hujui basi soma comment za wengine. Uzi huu utasaidia vijana walioko masomoni.
7. Ongezea na PCCB mzee
 
mkuu uliposema TAMISEMI umemaanisha nini?..Ina maana hao miamba hapo juu ajira zao hazipitii TAMISEMI a.k.a Ajira portal?
TAMISEMI ni TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA- Jaffo.
Ajira Portal ni WIZARA YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA - Mkuchika.
Hata hao wanapita ajira portal/utumishi kama ajira nyingine zote
 
Back
Top Bottom