Kati ya hii miamba sita (6) nani ana maslahi mazuri kuliko wengine?

Kati ya hii miamba sita (6) nani ana maslahi mazuri kuliko wengine?

Hao hawalipwi, bali wanajilipa wenyewe kwa scale zao wanazojipangia.
Wanatoa mapendekezo bodi ikipitisha tu mzigo unaongezeka sio sisi wengine hadi ipite bungeni ijadiliwe ipigiwe kura halafu ongezeko la 31,000/=
 
Kati ya hawa washua sita nani ana maslahi mazuri kuliko wengine kwenye mshahara, posho, overtime na mazingira bora ya kazi.
1. BOT
Bank of Tanzania.

2. TPDC
Tanzania Petroleum Development Corporation.

3. TCRA
Tanzania Communication Regulatory Authority.

4. TPA
Tanzania Port Authority.

5. TRA
Tanzania Revenue Authority.

6. TANAPA
Tanzania National Park

Kama unajua tushirikishe kama hujui basi soma comment za wengine. Uzi huu utasaidia vijana walioko masomoni.
Tanapa
 
Nikweli usemacho mfano Geita Gold Mine (GGM) ila hapa tunaongelea taasisi za serikali tu. Hao wa NGO tutawajadili siku nyingine
kwa Serikalini sawa, maana nishakuwa finance department kampuni moja ya simu Tz,FD na vice wake jumla ya mshahara wao ilikua 72.5 million, hapo bado allowances .
Jamani FD ni Finance Director
 
Mimi naona kitengo cha ovyo kwa TRA ni secretary tu
TAMISEMI wanaongoza kwa umasikini, wanawake kugongwa sana na ma boss wao Ili wapate ahueni ya kupata upendeleo wa Safari, semina to mention few
 
TAMISEMI wanaongoza kwa umasikini, wanawake kugongwa sana na ma boss wao Ili wapate ahueni ya kupata upendeleo wa Safari, semina to mention few
TAMISEMI njaa tupu fikiria engineer mzima anakula laki 9.4 sawa na mlinzi wa getini TANAPA
 
kwa Serikalini sawa, maana nishakuwa finance department kampuni moja ya simu Tz,FD na vice wake jumla ya mshahara wao ilikua 72.5 million, hapo bado allowances .
Jamani FD ni Finance Director
Hizo kampuni za simu wanalipana kwa dola
 
Pesa hakuna uku msijidanganye private mshahara wake ni 490k ukijumlisha 350k ni kama 800k ivi amna kitu...
Huyo jamaa akipita Lugalo akiona magari yamepaki anaona ndio mambo safi ila hajui ya chini ya pazia
 
Back
Top Bottom