Kati ya hii miamba sita (6) nani ana maslahi mazuri kuliko wengine?

Hazina kuna nini cha ajabu kule?
Shida wengi wanaojadili hawajawahi kupitia hizi taasisi. Hali ni Mbaya. Kama TANAPA ndio usiseme, watu wa hazina wanacheka tu wakiona hii mada.
 
Hamna cha ajabu Ila mishahara mingi inayolipwa wanafahamu japo mfumo ndio unalipa ila mtu akiingia kwenye data atajua tu unalipwa kiasi gani. Ni Kama ufanye kazi benki unaweza kuangalia akaunti ya jamaa yako ukaona kabakiza buku tu.
Kwahiyo unaweza kuta mbabe ni NIMR au TFS
 
Hao TFS kila siku kesi tu zinawaandama wafanyakazi wake. Kiufupi taasisi nyingi za serikali hamna maajabu kihivyo JIWE akiamua hata kesho kutoa maelekezo na kuwapokonya mamlaka ya kujipangia mishahara mbona wanaishi kama manyani tu. Hamna mtumishi tajiri niwizi tu ndio unafanya watumishi wajenge na kununua magari mazuri.
 
Hela ya ugali tu na kubadilisha mboga hakuna kingine
Uzuri nimeona umekiri mwenyewe kule juu kuwa "labda kuanzia jiwe moja"! Ndiyo jeshini ukiwa officer hela nje nje tu kuliko hata baadhi ya hao wengine uliowataja hapo!
 
Ni kweli
 
Shida wengi wanaojadili hawajawahi kupitia hizi taasisi. Hali ni Mbaya. Kama TANAPA ndio usiseme, watu wa hazina wanacheka tu wakiona hii mada.
Ila mkuu kama TANAPA hali ni mbaya mahali ambapo mshahara wa mlinzi ni sawa na Engineer wa halmashauri je sisi wengine huku wazee wa TGS tutakuwa kaburini kabisa
 
kweli mkuu, hajui hata private siku hizi kuna wengine wakijumulisha na allowance nyingine wanafika au kuzidi 1.5m per month hapo hajagusa afisa yeyote yule
Unamaanisha yule private anaetoka depo na kupangiwa kikosi au private mwenye miaka 5 na zaidi kazini ndio anakunja hiyo?
 
kwa private wa miaka mitano kwenda mbele wengi wana uhakika wa hiyo pesa au zaidi, ila kwa private wapya ni baadhi hasa wenye P.A ndo wanaweza kunja hiyo hela.nilichokuwa najaribu kumuelekeza huyo aliyezungumzia privates ni kuwa kuwa kuna privates wanakunja pesa ndefu
 
Mfano private mwenye degree ya kwanza
 
Back
Top Bottom