Kati ya hii miamba sita (6) nani ana maslahi mazuri kuliko wengine?

Tulipokuwa mlimani kuna jamaa alikuwa anasoma wildlife ana one ya 7 PCB. Kila mtu anamwambia kwanini hujaenda medicine Muhimbili anacheka tu kumbe alikuwa anajua anachokifanya.
Waliotaka sifa ya kuitwa dokta wanamgwaya sasa hivi
Kila mtu anasomea kile anachokipenda, sio kufuata maslahi. Taaluma ni wito.
 
Mishahara kwa sasa inayibamba kwa mashirika ya umma,
1; TCRA
2. TASAC
3.TPDC
4.TANTRADE
5.BOT
Halaf ndo unakuja hayo mashirika mengine Hapo, taasisi nyingi kwa ofisa anayeajiriwa hutumiaga mshahra wa 1.36,hayo mataasisi uliyoyataja mengi yanarange above ya hii i'la haizidi 1.5, i'la haya niliyoyaorodhesha salary zake ndo zinaanzia zaidi ya 1.6 kwenda mbele...hiyo Ni kwa mujibu wa udadisi wangu mdogo

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe kuna kozi ziko poa..

Udaktari kwa sasa hauna ishu umaskini nje nje sema hulali njaa hata kama hujaajiriwa serikalini
Tulipokuwa mlimani kuna jamaa alikuwa anasoma wildlife ana one ya 7 PCB. Kila mtu anamwambia kwanini hujaenda medicine Muhimbili anacheka tu kumbe alikuwa anajua anachokifanya.
Waliotaka sifa ya kuitwa dokta wanamgwaya sasa hivi
 
Siku hizi Afya imekua kama ualimu tu

Ahsante mkuu kwa mchango wako, vipi kuhusu NIMR na TANAPA?
 
Kumbe kuna kozi ziko poa..

Udaktari kwa sasa hauna ishu umaskini nje nje sema hulali njaa hata kama hujaajiriwa serikalini
Hulali njaa ila utaishi kawaida sana labda uibe dawa Mama Gwajima akudake. Maana 1.4mill ikikatwa na bodi ikiingia unabaki na laki 8-9.
Hapo ukisema tu upange nyumba laki 3 umekwisha
 
Ni kweli mkuu..madaktari wengi hali mbaya imebaki sifa tu ,,,kuitwa Dokta ila mifuko imenuna.
Hulali njaa ila utaishi kawaida sana labda uibe dawa Mama Gwajima akudake. Maana 1.4mill ikikatwa na bodi ikiingia unabaki na laki 8-9.
Hapo ukisema tu upange nyumba laki 3 umekwisha
 
Kati ya hawa washua sita nani ana maslahi mazuri kuliko wengine kwenye mshahara, posho, overtime na mazingira bora ya kazi.
1. BOT
Bank of Tanzania.

2. TPDC
Tanzania Petroleum Development Corporation.

3. TCRA
Tanzania Communication Regulatory Authority.

4. TPA
Tanzania Port Authority.

5. TRA
Tanzania Revenue Authority.

6. TANAPA
Tanzania National Park

Kama unajua tushirikishe kama hujui basi soma comment za wengine. Uzi huu utasaidia vijana walioko masomoni.
Mkuu Ongeza na NSSF na wale wanaofanya kazi katika mhimili uleee uliojichimbia chini zaidi

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kati ya hawa washua sita nani ana maslahi mazuri kuliko wengine kwenye mshahara, posho, overtime na mazingira bora ya kazi.
1. BOT
Bank of Tanzania.

2. TPDC
Tanzania Petroleum Development Corporation.

3. TCRA
Tanzania Communication Regulatory Authority.

4. TPA
Tanzania Port Authority.

5. TRA
Tanzania Revenue Authority.

6. TANAPA
Tanzania National Park

Kama unajua tushirikishe kama hujui basi soma comment za wengine. Uzi huu utasaidia vijana walioko masomoni.
Mmekaaa mnadanganyana vyuoni, sasa unataka majibu apa. Komaaa tafuta connection, pesa Zitakufata hata kitandani
 
Back
Top Bottom