Zimegawanya wa Africa wengine wana kesha makanisani wanaomba Mungu wasio mjua loh.Hizi hizi bible zilizo kuja kwa mitumbwi na boti
Mmh ebu niwaite wakushambulie Komeo Lachuma Yesu Anakuja njooni mmjibu huyuKwahiyo kuna watu wanakubali Biblia imeshushwa na Mungu. Kama kuna mtu anakubali hilo, afikirie upya!
Komeo LachumaMmh ebu niwaite wakushambulie @!Komeo Lachuma @!free state @chottaga 254 njooni mmjibu huyu
Ethiopian ithinkTofauti hizi zinadhihirisha kuwa kanuni ya Biblia haikushuka moja kwa moja kutoka kwa Mungu, bali ilifanyiwa maamuzi na wanadamu hasa viongozi wa kidini katika karne za kwanza. Mfano:
Biblia ya Kiprotestanti ina vitabu 66 tu.
Biblia ya Wakatoliki ina 73.
Waaorthodoksi wana zaidi ya 76.
Waethiopia* wanayo yenye vitabu 81+.
Hii inaonyesha kuwa kile kinachochukuliwa kama “neno la Mungu” kinategemea dhehebu, si ufunuo wa moja kwa moja.
Kwa hiyo, swali la msingi linaendelea kubaki wazi: kama Mungu alitoa neno lake, kwa nini kuna toleo zaidi ya moja la "neno hilo"?
Hii ni changamoto kwa imani ya kwamba Biblia ni kitabu kilicholindwa moja kwa moja na Mungu bila makosa. Inaleta sababu ya kufikiria upya chanzo na uhalali wa maandiko hEhiop
View attachment 3384697
Hizo bible ziliandikwa na watu kulingana na mapokeo yao kwaiyo usiumizwe kichwa kujua ipi sahihi maana yake hutapata jibu sahihiTofauti hizi zinadhihirisha kuwa kanuni ya Biblia haikushuka moja kwa moja kutoka kwa Mungu, bali ilifanyiwa maamuzi na wanadamu hasa viongozi wa kidini katika karne za kwanza. Mfano:
Biblia ya Kiprotestanti ina vitabu 66 tu.
Biblia ya Wakatoliki ina 73.
Waaorthodoksi wana zaidi ya 76.
Waethiopia* wanayo yenye vitabu 81+.
Hii inaonyesha kuwa kile kinachochukuliwa kama “neno la Mungu” kinategemea dhehebu, si ufunuo wa moja kwa moja.
Kwa hiyo, swali la msingi linaendelea kubaki wazi: kama Mungu alitoa neno lake, kwa nini kuna toleo zaidi ya moja la "neno hilo"?
Hii ni changamoto kwa imani ya kwamba Biblia ni kitabu kilicholindwa moja kwa moja na Mungu bila makosa. Inaleta sababu ya kufikiria upya chanzo na uhalali wa maandiko haya.View attachment 3384697
Mkuu komeo la chuma zingatia Mada hi mada sio Muhammad vs Bible acha kua mpuuzi wa kutukana Dini za watu. Kadhi Mkuu 1 njooni huyu mwenzenu hanaga hojaJE, HIZI SIFA ZA KISHETANI ZA MUHAMMAD NI ZA KITUME?
1. Muhammad alizini na kijakazi
2. Muhammad alikuwa na changu doa
3. Muhammad alinyonya ulimi wa mwenzake
4. Muhammad alikuwa Mlevi
5. Muhammad alikuwa amerogwa
Wengi wenu labda hakuwa mnazifahamu hizi siri ambazo Waislam wanazificha kila siku. Naam, naziita siri kwasababu huwa hawasemi huu ukweli wa Muhammad Mtume wa Allah.
MTUME MUHAMMAD ALIFUMANIWA NA KIJAKAZI WA MKEWESiku moja mtume (s.a.w) Alikuwa Nyumbani kwa Mkewe Hafsa bint Umar, Hafsa akaenda kwa Baba yake kumjulia hali, Mtume (s.a.w) alimwita Mjakazi wake bibi Mariya Alqbitiyya, akawa nae Chumbani, Aliporudi Hafsa Akasema Maneno makali kwa Mtume juu ya tendo hilo (s.a.w) Mtume akasema nakuhakikishia Kuwa: Kuanzia Leo Sitamwingilia tena, mjakazi wako.
(Tafsir Ibn Kathir J. 6 Uk. 367)
Je, huku kufumaniwa ndio sifa za kitume?
MTUME MUHAMAMD ALIKUWA NA CHANGU DOASunan Abu-Dawud, Kitabu 38, Namba 4458: Amehadithia Ali ibn AbuTalib: "Mtumwa wa Kisichana ambaye alikuwa mali ya nyumba ya Mtume wa Allah aligawa Uroda kwa Rafiki ya Muhammad. Basi Nabii wa Allah akasema kwa Ali: Nenda na ukampe adhabu Muasherati wangu kwa kufanya Ngono bila ya ruhusa yangu. Ali akaharakisha kwenda alipo yule Mtumwa wa Kisichana wa Muhammad na kuona damu ilikuwa inatiririka kutoka kwake, na bila kuacha. Hivyo Muhammad alikwenda kwake na akasema: Mwache damu iendelee kutiririka mpaka itakopo simama; kisha mpe adhabu kwa mujibu wa dhambi yake".
Hakika Muhammad alikuwa ni Nabii wa Shetani anaye fuga Watumwa na kuedekeza uzinzi.
MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSANHadith Idadi 16,245: "maneno ya Washami," Hadith ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan": "Nilimwona Nabii wa Allah(saw) - akimnyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al-Hassan Mwana wa Ali, Mwenyezi Mungu amrehemu, maana hakuna mtu atakaye teswa kwa Moto wa Jehannam baada ya kunyonywa ulimi na kulambwa midomo na Nabii wa Allah.
Mnaona tabia chafu ya Nabii wa Allah? Eti akikula denda na kukulamba midomo basi wewe huto kwenda Jehannam. Pia alisema, "Siku baadaye tuliomba muuguzi kwa ajili yake (Ali) lakini alikataa, basi tukamwita Nabii Muhammad - SAW -.ambaye alimnyonya ulimi "Ali" kwa kinywa chahe mpaka akalala. Hivi ndivyo Allah alivyo taka Ali afanyiwe na Nabii wake
MTUME MUHAMMAD ALIKUWA MLEVISahihi Muslim 3753:'' Sisi tulikuwa pamoja na Mtume wa Allah, na Yeye Mtume wa Allah alikuwa na kiu na mtu mmoja akasema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, Je, UNATAKA KUNYWA MVINYO? Mtume Muhammad akasema: NDIO. Basi yule Mtu alikwenda kuleta mvinyo. Mtume wa Allah akamwambia: Lete MVINYO ULIO MKALI ILI NINYWE; Basi Mtume wa Allah alipo kunywa ule MVINYO MKALI ALILEWA
MTUME MUHAMMAD ALIKUWA AMEROGWAPia, kwa mujibu wa Sahih Bukhari juzuu ya 4, Kitabu cha 54, Hadithi namba 490 na Sahih Bukhari, juzuu ya 7, kitabu cha 71, hadithi namba 658; Muhammad alirogwa na akazurika na uchawi. Kisa cha mtume kurogwa na kuzurika na uchawi pia kinasimuliwa katika quran Tafsiri ya Sheikh Abdullah Saleh Al-Farsy ukurasa wa 977 na 978.
MASWALI: (a) Ikiwa uchawi ni ukafiri, Kuna uhusiano gani kati ya Allah na ukafiri mpaka atelemshe uchawi?
(b)Mtume Muhammad alirogwa na wachawi wa kiislam au wachawi wengine?
(c) Mtume Muhammad alirogwa na uchawi ulioteremshwa na malaika wa Allah au uchawi mwingine?
(d) Mtume au nabii gani mwingine alirogwa na akaathirika na uchawi?
Kama Muhamamd alikuwa Mtume wa Mungu, mbona tabia zake ni za kishetan?
Mkuu komeo la chuma zingatia Mada hi mada sio Muhammad vs Bible acha kua mpuuzi wa kutukana Dini za watu.@Mdusi94 Kadhi Mkuu 1 njooni huyu mwenzenu hanaga hoja
Wewe kiazi hujui kujikuta kwenye Mada akili zako zinakuambia opposite ya ulokole ni Uislamu, sijui kwanini una akili finyu kiasi hicho, madhara ya kupokea upako ukiwa ukuenda sana shule ni tabia kama hizo zako.Mi nimeitwa nije nijibu hoja. Na sijatukana Dini ya mtu.
Kifupi sema hivi, Mwamedi alikuwa shoga!Mnaona tabia chafu ya Nabii wa Allah? Eti akikula denda na kukulamba midomo basi wewe huto kwenda Jehannam. Pia alisema, "Siku baadaye tuliomba muuguzi kwa ajili yake (Ali) lakini alikataa, basi tukamwita Nabii Muhammad - SAW -.ambaye alimnyonya ulimi "Ali" kwa kinywa chahe mpaka akalala.
Hayo ni matusi mkuu ni uchokozi sio vizuri kukashifu dini za wengine, hi Mada haihusiane na Dini nyingine achani hizo tabia.Kifupi sema hivi, Mwamedi alikuwa shoga!
Nakuhesabia siku tu mkuu, almost utabadili dini na kuwa mkristo. Na utakapobadili dini uunadi ukiristo kwa moyo hu huuu mkuu. AsanteTofauti hizi zinadhihirisha kuwa kanuni ya Biblia haikushuka moja kwa moja kutoka kwa Mungu, bali ilifanyiwa maamuzi na wanadamu hasa viongozi wa kidini katika karne za kwanza. Mfano:
Biblia ya Kiprotestanti ina vitabu 66 tu.
Biblia ya Wakatoliki ina 73.
Waaorthodoksi wana zaidi ya 76.
Waethiopia* wanayo yenye vitabu 81+.
Hii inaonyesha kuwa kile kinachochukuliwa kama “neno la Mungu” kinategemea dhehebu, si ufunuo wa moja kwa moja.
Kwa hiyo, swali la msingi linaendelea kubaki wazi: kama Mungu alitoa neno lake, kwa nini kuna toleo zaidi ya moja la "neno hilo"?
Hii ni changamoto kwa imani ya kwamba Biblia ni kitabu kilicholindwa moja kwa moja na Mungu bila makosa. Inaleta sababu ya kufikiria upya chanzo na uhalali wa maandiko haya.View attachment 3384697
Mkuu naona umekata tamaa na Dini yako, siwezi kuingia kwenye "spritual confussion" ya ukuristo kwaza wapo wapo hawajitabui hawewezi hata kutetea Imani, ni watu wakujificha kwenye kichaka cha roho mtakatifu huku wanapiga pesa.Nakuhesabia siku tu mkuu, almost utabadili dini na kuwa mkristo. Na utakapobadili dini uunadi ukiristo kwa moyo hu huuu mkuu. Asante
Kumbe mkuu sasa tutajua je sehemu sahihi na zilio chakachuliwa, kweli roho mtakatifu ameshindwa kulinda neno lake? Au yuko likizoni.Biblia ni neno la Mungu kwa asilimia [emoji817] lakini imechakachuliwa na watu Fulani ili kuendekeza ajenda zao