Mzee kabla hatujaendelea mbele inabidi ujue kitu kimoja, ukristo una historia kubwa na pana, na katika historia hio kuna some dark times.
Dark times zilikuja baada ya Romans(warumi) ku-adapt Christianity, kuingia kanisani na kujifanya wakristo, wali-adapt Christianity sio kwa sababu waliupenda ukristo, ni kwasababu Constantine(mfalme) alibadili dini na kuwa mkristo na kufanya ukristo kuwa kama state religion, so ukitaka position nzuri serikalini na uwe karibu na mfalme ilibidi uwe mkristo.
Romans walivoingia kweny ukristo walikuja na maupumbavu yao yote ya kipagani, kwasababu conversion yao haikuwa from the heart(kuupenda ukristo) but it was for survival, ndio ikazaliwa Roman Catholic. Romans waliuchukua ukristo sana so walijaribu kila namna kufanya ukristo ufanane na dini zao za kipagani ndio maana waka introduce practice nyingi na mapokeo ambayo hayapo kweny maandiko(hadi kubadilisha amri kumi za mungu), hii ilifika hadi kuongeza vitabu ambavyo ni non-inspired/non-canon kweny the 66 inspired books. Vitabu ambavyo vilikuwa na mafundisho ambayo yanafanana na ya kipagani.
Martin Luther(first refomer) saw this na akaviondoa hivo vitabu kweny list ya the real 66 inspired books. He separated inspired from non-inspired books.
So hizi purukushani za hapa na pale zilikuwepo, but christians knew what were the inspired books, the real Christians from the first church after Jesus, walikuwa na manuscripts, zilikuwa bado hazipo compiled together but walikuwa nazo na walizitunza na kuzi replicate kwa umakini mkubwa ili injili isambae kwa usahihi. These early christians walibeba jukumu kubwa sana la ku-preserve maandiko na walifanikiwa kwa msaada wa mungu.
So before making these arguments lazima ujue kwanza historia ya ukristo na madhehebu yake, ukristo upo complicated, umepitia ups and down nyingi sana, but somehow kwa msaada wa mungu hadi leo tuna 66 inspired books Mungu alizotaka tuwe nazo even before injili hazijaandika, kama nilivokutolea mfano wa mikate 12 kweny hekalu takatifu la Musa ilivokuwa inapangwa yaan 6 | 6 but due to your ignorance and pride ime-ignore hio point kwasababu inakuumbua.
Covax