Kati ya hizi Biblia ipi ni sahihi yenye ufunuo wa kweli wa Mungu?

Mkuu naona umekataa tamaa na Dini yako, siwezi kuingia kwenye "spritual confussion" ya ukuristo kwaza wapo wapo hawajitabui hawewezi hata kutetea Imani, ni watu wakujificha kwenye kichaka cha roho mtakatifu huku wanapiga pesa.
Mungu kwenye Ukristo ni wa mtu binafsi sio wa jumuhiya, kama wengine wanasuasua wewe unasonga mbele na Mungu wako.
 
Mkuu naona umekataa tamaa na Dini yako, siwezi kuingia kwenye "spritual confussion" ya ukuristo kwaza wapo wapo hawajitabui hawewezi hata kutetea Imani, ni watu wakujificha kwenye kichaka cha roho mtakatifu huku wanapiga pesa.
Mkuu, Kama Upo Dar es salaam tuwekeane ahadi hapa, tukutane kesho uliza maswali yako yote na nitakujibu with reference zote! Record mahojiano yetu na uyapost here! Unezoea kupotosha na kuongea vitu usivovijua. Nakupa nafasi uje au nije tujadiliane . Maana umezidi mnoo kupotosha
 
Wewe kiazi hujui kujikuta kwenye Mada akili zako zinakuambia opposite ya ulokole ni Uislamu, sijui kwanini una akili finyu kiasi hicho, madhara ya kupokea upako ukiwa ukuenda sana shule ni tabia kama hizo zako.

Bahati Mbaya sina Dini. Naenjoy tu life. Si Mtu wa Dini. Ila napenda kuusoma Uislamu na napenda kuwa na tabia kama za muhamad ndo role model wangu
 
Mkuu, Kama Upo Dar es salaam tuwekeane ahadi hapa, tukutane kesho uliza maswali yako yote na nitakujibu with reference zote! Record mahojiano yetu na uyapost here! Unezoea kupotosha na kuongea vitu usivovijua. Nakupa nafasi uje au nije tujadiliane . Maana umezidi mnoo kupotosha

JE, HIZI SIFA ZA AJABU ZA MUHAMMAD NI ZA KITUME?

1. Muhammad alizini na kijakazi
2. Muhammad alikuwa na changu doa
3. Muhammad alinyonya ulimi wa mwenzake
4. Muhammad alikuwa Mlevi
5. Muhammad alikuwa amerogwa

Wengi wenu labda hakuwa mnazifahamu hizi siri ambazo Waislam wanazificha kila siku. Naam, naziita siri kwasababu huwa hawasemi huu ukweli wa Muhammad Mtume wa Allah.

MTUME MUHAMMAD ALIFUMANIWA NA KIJAKAZI WA MKEWESiku moja mtume (s.a.w) Alikuwa Nyumbani kwa Mkewe Hafsa bint Umar, Hafsa akaenda kwa Baba yake kumjulia hali, Mtume (s.a.w) alimwita Mjakazi wake bibi Mariya Alqbitiyya, akawa nae Chumbani, Aliporudi Hafsa Akasema Maneno makali kwa Mtume juu ya tendo hilo (s.a.w) Mtume akasema nakuhakikishia Kuwa: Kuanzia Leo Sitamwingilia tena, mjakazi wako.
(Tafsir Ibn Kathir J. 6 Uk. 367)
Je, huku kufumaniwa ndio sifa za kitume?

MTUME MUHAMAMD ALIKUWA NA CHANGU DOASunan Abu-Dawud, Kitabu 38, Namba 4458: Amehadithia Ali ibn AbuTalib: "Mtumwa wa Kisichana ambaye alikuwa mali ya nyumba ya Mtume wa Allah aligawa Uroda kwa Rafiki ya Muhammad. Basi Nabii wa Allah akasema kwa Ali: Nenda na ukampe adhabu Muasherati wangu kwa kufanya Ngono bila ya ruhusa yangu. Ali akaharakisha kwenda alipo yule Mtumwa wa Kisichana wa Muhammad na kuona damu ilikuwa inatiririka kutoka kwake, na bila kuacha. Hivyo Muhammad alikwenda kwake na akasema: Mwache damu iendelee kutiririka mpaka itakopo simama; kisha mpe adhabu kwa mujibu wa dhambi yake".
Hakika Muhammad alikuwa ni Nabii wa Shetani anaye fuga Watumwa na kuedekeza uzinzi.

MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSANHadith Idadi 16,245: "maneno ya Washami," Hadith ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan": "Nilimwona Nabii wa Allah(saw) - akimnyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al-Hassan Mwana wa Ali, Mwenyezi Mungu amrehemu, maana hakuna mtu atakaye teswa kwa Moto wa Jehannam baada ya kunyonywa ulimi na kulambwa midomo na Nabii wa Allah.
Mnaona tabia chafu ya Nabii wa Allah? Eti akikula denda na kukulamba midomo basi wewe huto kwenda Jehannam. Pia alisema, "Siku baadaye tuliomba muuguzi kwa ajili yake (Ali) lakini alikataa, basi tukamwita Nabii Muhammad - SAW -.ambaye alimnyonya ulimi "Ali" kwa kinywa chahe mpaka akalala. Hivi ndivyo Allah alivyo taka Ali afanyiwe na Nabii wake

MTUME MUHAMMAD ALIKUWA MLEVISahihi Muslim 3753:'' Sisi tulikuwa pamoja na Mtume wa Allah, na Yeye Mtume wa Allah alikuwa na kiu na mtu mmoja akasema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, Je, UNATAKA KUNYWA MVINYO? Mtume Muhammad akasema: NDIO. Basi yule Mtu alikwenda kuleta mvinyo. Mtume wa Allah akamwambia: Lete MVINYO ULIO MKALI ILI NINYWE; Basi Mtume wa Allah alipo kunywa ule MVINYO MKALI ALILEWA

MTUME MUHAMMAD ALIKUWA AMEROGWAPia, kwa mujibu wa Sahih Bukhari juzuu ya 4, Kitabu cha 54, Hadithi namba 490 na Sahih Bukhari, juzuu ya 7, kitabu cha 71, hadithi namba 658; Muhammad alirogwa na akazurika na uchawi. Kisa cha mtume kurogwa na kuzurika na uchawi pia kinasimuliwa katika quran Tafsiri ya Sheikh Abdullah Saleh Al-Farsy ukurasa wa 977 na 978.

MASWALI: (a) Ikiwa uchawi ni ukafiri, Kuna uhusiano gani kati ya Allah na ukafiri mpaka atelemshe uchawi?
(b)Mtume Muhammad alirogwa na wachawi wa kiislam au wachawi wengine?
(c) Mtume Muhammad alirogwa na uchawi ulioteremshwa na malaika wa Allah au uchawi mwingine?
(d) Mtume au nabii gani mwingine alirogwa na akaathirika na uchawi?

Kama Muhamamd alikuwa Mtume wa Mungu, mbona tabia zake ni za kisheitwain?
 
Kumbe mkuu sasa tutajua je sehemu sahihi na zilio chakachuliwa, kweli roho mtakatifu ameshindwa kulinda neno lake? Au yuko likizoni.
Mkristo yeyote aliyekamilika, lazima aongozwe na Roho wa Mungu, Roho ndie atamsaidia kuchambua pumba na mchele, wala sio kesi. Ndio maana wahubiri wa uongo wapo wengi sana lakini mtu anae mjua Mungu sawasawa hawezi kabisa kudanganywa nao hata siku moja.
 
Usichokijua kwa taarifa yako, uislamu hauwezi kusimama kwa chochote bila kuutegemea ukristo. In short masikio hayawezi kuzidi kichwa! Unless it’s punda, and punda ni hayawani tu mmojawapo !
 
Kwa mujibu wa swali lako, naona una shida ya kuilinganisha Biblia na Either kitabu kingine cha dini mathalan Quran tukufu.
Biblia haikushushwa full ikiwa kama kitabu kutoka kwa Mungu; bali ni mkusanyiko wa vitabu mbalimbali ambavyo vinaelezea matendo makuu ya Utukufu kwake Mungu mwenyewe.
Sasa pale utakuta Historia mbali mbali za wanadamu walio tembea vizuri katika utukufu wa Mungu, japo mifano mibaya ipo pia, kwaajili tu ya sisi wanadamu kujifunza na kuifuata njia iliyo sahihi .
Wakati mwingine Mungu alikuwa akiwapa watumishi wake Neno, na sio Biblia la kusema na watu sasa wengine waliandika na wengine walisema na yakaandikwa, Alafu Baadae watu wengine waliongozwa na Roho wa Mungu mwenyewe wali compile na kufanya Biblia.

Kwa sisi WaKristo sasa haiwezi kutusumbua idadi ya vitabu kwenye Biblia ila ujumbe hasa ambao Mungu anatuelekeza kupitia Roho wake kwenye Neno lake.

Sasa ipi sahihi? Ni ile ambayo umesoma na Mungu akakupa Neno likakuvusha mahali.
Mkuu asante kwa hoja yako. Ni kweli kabisa kuwa Biblia ni mkusanyo wa vitabu mbalimbali vilivyoandikwa kwa vipindi tofauti, na si kitabu kilichoshushwa kwa wakati mmoja kama Qur'an.

Hata hivyo, hoja ya msingi inayojadiliwa hapa ni ukweli na uthabiti wa kile kilichoandikwa ndani ya Biblia yenyewe, hasa pale panapojitokeza tofauti katika simulizi za Injili, mfano kwenye tukio la kusulubiwa kwa Yesu, au ufufuo wake.

Kama waandishi waliongozwa na Roho Mtakatifu, swali linabaki: kwa nini kuna toleo tofauti la matukio yale yale? Kwa mfano:
 
Usichokijua kwa taarifa yako, uislamu hauwezi kusimama kwa chochote bila kuutegemea ukristo. In short masikio hayawezi kuzidi kichwa! Unless it’s punda, and punda ni hayawani tu mmojawapo !
Mkuu mada haina uhusiano na Uislamu wewe tetea hoja ya Dini yako ya kikristo, jibu biblia gani ni sahihi kama zote zimeshusha na roho mtakatifu
 
Mkuu asante kwa hoja yako. Ni kweli kabisa kuwa Biblia ni mkusanyo wa vitabu mbalimbali vilivyoandikwa kwa vipindi tofauti, na si kitabu kilichoshushwa kwa wakati mmoja kama Qur'an.

Hata hivyo, hoja ya msingi inayojadiliwa hapa ni ukweli na uthabiti wa kile kilichoandikwa ndani ya Biblia yenyewe, hasa pale panapojitokeza tofauti katika simulizi za Injili, mfano kwenye tukio la kusulubiwa kwa Yesu, au ufufuo wake.

Kama waandishi waliongozwa na Roho Mtakatifu, swali linabaki: kwa nini kuna toleo tofauti la matukio yale yale? Kwa mfano:
Nilivyosoma Biblia sijaona mkanganyiko huo unaosema zaidi sana ni kuhitaji kusoma tena na tena, ili kupata uzito wa kitu ambacho Biblia inasema.

Kwa mfano nmesoma tafsiri kadhaa za Biblia Kingereza na Kiswahili, ili kupata mafafanuzi zaidi kwenye jambo fulani,
Sasa kwa mtu asietambua maana ataona mbona Tafsiri ya biblia kwa kiswahili cha kisasa ina maneno ya tofauti kiasi na tafsiri za zamani ,sawasawa na KJV and SV Bibles
 
Mkuu mada haina uhusiano na Uislamu wewe tetea hoja ya Dini yako ya kikristo, jibu biblia gani ni sahihi kama zote zimeshusha na roho mtakatifu
JE, HIZI SIFA ZA AJABU ZA MUHAMMAD NI ZA KITUME?

1. Muhammad alizini na kijakazi
2. Muhammad alikuwa na changu doa
3. Muhammad alinyonya ulimi wa mwenzake
4. Muhammad alikuwa Mlevi
5. Muhammad alikuwa amerogwa

Wengi wenu labda hakuwa mnazifahamu hizi siri ambazo Waislam wanazificha kila siku. Naam, naziita siri kwasababu huwa hawasemi huu ukweli wa Muhammad Mtume wa Allah.

MTUME MUHAMMAD ALIFUMANIWA NA KIJAKAZI WA MKEWESiku moja mtume (s.a.w) Alikuwa Nyumbani kwa Mkewe Hafsa bint Umar, Hafsa akaenda kwa Baba yake kumjulia hali, Mtume (s.a.w) alimwita Mjakazi wake bibi Mariya Alqbitiyya, akawa nae Chumbani, Aliporudi Hafsa Akasema Maneno makali kwa Mtume juu ya tendo hilo (s.a.w) Mtume akasema nakuhakikishia Kuwa: Kuanzia Leo Sitamwingilia tena, mjakazi wako.
(Tafsir Ibn Kathir J. 6 Uk. 367)
Je, huku kufumaniwa ndio sifa za kitume?

MTUME MUHAMAMD ALIKUWA NA CHANGU DOASunan Abu-Dawud, Kitabu 38, Namba 4458: Amehadithia Ali ibn AbuTalib: "Mtumwa wa Kisichana ambaye alikuwa mali ya nyumba ya Mtume wa Allah aligawa Uroda kwa Rafiki ya Muhammad. Basi Nabii wa Allah akasema kwa Ali: Nenda na ukampe adhabu Muasherati wangu kwa kufanya Ngono bila ya ruhusa yangu. Ali akaharakisha kwenda alipo yule Mtumwa wa Kisichana wa Muhammad na kuona damu ilikuwa inatiririka kutoka kwake, na bila kuacha. Hivyo Muhammad alikwenda kwake na akasema: Mwache damu iendelee kutiririka mpaka itakopo simama; kisha mpe adhabu kwa mujibu wa dhambi yake".
Hakika Muhammad alikuwa ni Nabii wa Shetani anaye fuga Watumwa na kuedekeza uzinzi.

MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSANHadith Idadi 16,245: "maneno ya Washami," Hadith ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan": "Nilimwona Nabii wa Allah(saw) - akimnyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al-Hassan Mwana wa Ali, Mwenyezi Mungu amrehemu, maana hakuna mtu atakaye teswa kwa Moto wa Jehannam baada ya kunyonywa ulimi na kulambwa midomo na Nabii wa Allah.
Mnaona tabia chafu ya Nabii wa Allah? Eti akikula denda na kukulamba midomo basi wewe huto kwenda Jehannam. Pia alisema, "Siku baadaye tuliomba muuguzi kwa ajili yake (Ali) lakini alikataa, basi tukamwita Nabii Muhammad - SAW -.ambaye alimnyonya ulimi "Ali" kwa kinywa chahe mpaka akalala. Hivi ndivyo Allah alivyo taka Ali afanyiwe na Nabii wake

MTUME MUHAMMAD ALIKUWA MLEVISahihi Muslim 3753:'' Sisi tulikuwa pamoja na Mtume wa Allah, na Yeye Mtume wa Allah alikuwa na kiu na mtu mmoja akasema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, Je, UNATAKA KUNYWA MVINYO? Mtume Muhammad akasema: NDIO. Basi yule Mtu alikwenda kuleta mvinyo. Mtume wa Allah akamwambia: Lete MVINYO ULIO MKALI ILI NINYWE; Basi Mtume wa Allah alipo kunywa ule MVINYO MKALI ALILEWA

MTUME MUHAMMAD ALIKUWA AMEROGWAPia, kwa mujibu wa Sahih Bukhari juzuu ya 4, Kitabu cha 54, Hadithi namba 490 na Sahih Bukhari, juzuu ya 7, kitabu cha 71, hadithi namba 658; Muhammad alirogwa na akazurika na uchawi. Kisa cha mtume kurogwa na kuzurika na uchawi pia kinasimuliwa katika quran Tafsiri ya Sheikh Abdullah Saleh Al-Farsy ukurasa wa 977 na 978.

MASWALI: (a) Ikiwa uchawi ni ukafiri, Kuna uhusiano gani kati ya Allah na ukafiri mpaka atelemshe uchawi?
(b)Mtume Muhammad alirogwa na wachawi wa kiislam au wachawi wengine?
(c) Mtume Muhammad alirogwa na uchawi ulioteremshwa na malaika wa Allah au uchawi mwingine?
(d) Mtume au nabii gani mwingine alirogwa na akaathirika na uchawi?

Kama Muhamamd alikuwa Mtume wa Mungu, mbona tabia zake ni za kisheitwain?
 
Nilivyosoma Biblia sijaona mkanganyiko huo unaosema zaidi sana ni kuhitaji kusoma tena na tena, ili kupata uzito wa kitu ambacho Biblia inasema.

Kwa mfano nmesoma tafsiri kadhaa za Biblia Kingereza na Kiswahili, ili kupata mafafanuzi zaidi kwenye jambo fulani,
Sasa kwa mtu asietambua maana ataona mbona Tafsiri ya biblia kwa kiswahili cha kisasa ina maneno ya tofauti kiasi na tafsiri za zamani ,sawasawa na KJV and SV Bibles
Mkuu ebu ni kuonyeshe contradiction au mkanganyiko kwenye biblia yako: Je, kweli wote waliomsulubiwa Yesu walimtukana (Mathayo na Marko) au mmoja alitubu (Luka)?

Je, kaburini walikuwepo malaika wawili (Yohana) au mmoja (Mathayo)?

Je, Yesu alionekana kwa wanawake tu au wanafunzi pia siku hiyo hiyo ya ufufuo?

Usipotee mazima mkuu nipe ufafanuzi kwa migongano hiyo.

uhusiano wa maandiko haya na ufunuo wa moja kwa moja kutoka kwa Mungu. Kama kweli ni ufunuo wa Mungu, basi ulinganifu na uthibitisho wa ndani ya maandiko ni jambo muhimu sana.

Kwa hiyo, hoja haiko tu katika jinsi Biblia ilivyokusanywa, bali pia katika kudai kuwa ni neno la Mungu lenye mamlaka ya kiroho, bila kupingana ndani yake.
 
Mkuu mada haina uhusiano na Uislamu wewe tetea hoja ya Dini yako ya kikristo, jibu biblia gani ni sahihi kama zote zimeshusha na roho mtakatifu
Huna unachoelewa by the way. And from today onwards nitaku-ignore maana inakera sana kusoma post ya asiyejielewa na huku akidhani anajielewa. Endelea kuwapotosha wasio elewa kuhusu Imani yao otherwise u are just as stupid as u are! And stop posting things u think u know kumbe hataaaa huvijui! It could help keep ur credibility! Otherwise Huna chochote ukijuacho about Christianity.
 
Tofauti hizi zinadhihirisha kuwa kanuni ya Biblia haikushuka moja kwa moja kutoka kwa Mungu, bali ilifanyiwa maamuzi na wanadamu hasa viongozi wa kidini katika karne za kwanza. Mfano:

Biblia ya Kiprotestanti ina vitabu 66 tu.

Biblia ya Wakatoliki ina 73.

Waaorthodoksi wana zaidi ya 76.

Waethiopia* wanayo yenye vitabu 81+.

Hii inaonyesha kuwa kile kinachochukuliwa kama “neno la Mungu” kinategemea dhehebu, si ufunuo wa moja kwa moja.

Kwa hiyo, swali la msingi linaendelea kubaki wazi: kama Mungu alitoa neno lake, kwa nini kuna toleo zaidi ya moja la "neno hilo"?

Hii ni changamoto kwa imani ya kwamba Biblia ni kitabu kilicholindwa moja kwa moja na Mungu bila makosa. Inaleta sababu ya kufikiria upya chanzo na uhalali wa maandiko haya.View attachment 3384697
Covax Umeandika kistaarabu na mm ngoja nikujibu kistaarabu.

Kwanza kabisa your claims hazipo sahihi kabisa, umefanya kitu kinachitwa "Deceptive Reasoning", sisi wakristo hatuamini biblia imeshushwa kutoka kwa mungu kama nyie mnavoamini quran imeshushwa kutoka kwa allah wakati muhammad inafahamika kabisa alikuwa na scribers(waandishi) ambao alikuwa anawaambia cha kuandika, sisi tunaamini biblia ni muunganiko wa vitabu 66 vilivoandikwa na 44 authors (ikiwemo manabii, wafalme, wafanyabiashara, wavuvi na watu wa kawaida walioitwa katika dini) from 3 different continents for over 1500 years inspired by the holy Ghost, ikibeba ujumbe mmoja unaoleweka kuhusu mfumo mzima wa ukombozi wa mwanadamu kutoka dhambini (ikiwemo kuzaliwa, kuishi, kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo)

Hizo vitabu vingine ukiachana na the normal typical bible of 66 books, there simply not inspired, havina hekima ya Mungu, wala haviongelei kwa ukweli kuhusu mfumo wa ukombozi wa mwanadamu na ndio maana vimepigwa chini na tumebaki na vitabu 66.

Hata hivyo kweny hekalu takatifu ambalo musa alijenga, mezani walikuwa wanaweka mikate 12, walikuwa wanaipanga mikate hio in 2 columns, 6 one side and another side 6 also. Mkate kweny biblia una resemble Word of God(neno la mungu), so kwa mantiki hio jinsi walivokuwa wanapanga mikate hio 12 kwa mfumo wa 6 | 6 ilikuwa inasonta/resembles neno la mungu lenye vitabu 66.

Mm nimemaliza kwa upande wangu Kama una hoja ilete.

Sasa tuje kwako wewe na hio quran yako, nijibu maswali yafutayo:
— Je, quran imeshushwa? kama imeshushwa kwann muhammad awe na scribers(waandishi)? Tena mmoja wa waandishi wake alikimbia na kukana uislamu(Abdullah ibn Sa'd ibn Abi Sarh) baada ya kuwa na wasiwasi na muhammad, then baadae muhammad akatoa order akamatwe auliwe.
— Je, quran imeshushwa? kama imeshushwa kwann iwe na variations tofauti tofauti??
— Je, quran imeshushwa? Kama imeshushwa kwann caliph Uthman Ibn Affan atoe order ya kuchoma version za quran zote but ibakie moja ambayo yeye aliipenda na kuiona ipo sahihi??
— Je, quran ni ya kweli? Kama ni ya kweli kwann muhammad tu ndio awe anapokea hizo revelations kutoka kwa allah, tena akiwa peke yake pangoni, kwan allah hakuweza kumtokea mtu mwingine? Kweny biblia Mungu tunaona amewatokea manabii na watu wengi, amewapa revelations mitume, wafalme, manabii na watu wengi wa rika na races tofauti tofauti, why only muhammad kweny quran, why only one man?? Unajua cult nyingi zinaanzaje?? Zinaanza kwa mtu mmoja tu kusema yeye ndio yeye, mtu mmoja kusema yeye ndio nabii wa mwisho wa mungu, kusema yeye pekee ndio anayepokea maagizo kutoka kwa mungu hakuna mtu mwingine anayeweza na kuua watu wanaohoji utume wake.

Covax Be careful on what you believe!
 
Huna unachoelewa by the way. And from today onwards nitaku-ignore maana inakera sana kusoma post ya asiyejielewa na huku akidhani anajielewa. Endelea kuwapotosha wasio elewa kuhusu Imani yao otherwise u are just as stupid as u are! And stop posting things u think u know kumbe hataaaa huvijui! It could help keep ur credibility! Otherwise Huna chochote ukijuacho about Christianity.
Its normal whenever an idiot fail to answer a challenge amicably he will resort to harsh words en abuses, ila mimi na kuheshimu huwezi ukawa an idiot sema tu umezidiwa hoja unatafuta defensive mechanism ya kupotea mazima ila hapa jf ni independent free platform hamna anae lazimishwa kujibu hoja ya mgine byee byee mkuu
 
Covax Umeandika kistaarabu na mm ngoja nikujibu kistaarabu.

Kwanza kabisa your claims hazipo sahihi kabisa, umefanya kitu kinachitwa "Deceptive Reasoning", sisi wakristo hatuamini biblia imeshushwa kutoka kwa mungu kama nyie mnavoamini quran imeshushwa kutoka kwa allah wakati muhammad inafahamika kabisa alikuwa na scribers(waandishi) ambao alikuwa anawaambia cha kuandika, sisi tunaamini biblia ni muunganiko wa vitabu 66 vilivoandikwa na 44 authors (ikiwemo manabii, wafalme, wafanyabiashara, wavuvi na watu wa kawaida walioitwa katika dini) from 3 different continents for over 1500 years inspired by the holy Ghost, ikibeba ujumbe mmoja unaoleweka kuhusu mfumo mzima wa ukombozi wa mwanadamu kutoka dhambini (ikiwemo kuzaliwa, kuishi, kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo)

Hizo vitabu vingine ukiachana na the normal typical bible of 66 books, there simply not inspired, havina hekima ya Mungu, wala haviongelei kwa ukweli kuhusu mfumo wa ukombozi wa mwanadamu na ndio maana vimepigwa chini na tumebaki na vitabu 66.

Hata hivyo kweny hekalu takatifu ambalo musa alijenga, mezani walikuwa wanaweka mikate 12, walikuwa wanaipanga mikate hio in 2 columns, 6 one side and another side 6 also. Mkate kweny biblia una resemble Word of God(neno la mungu), so kwa mantiki hio jinsi walivokuwa wanapanga mikate hio 12 kwa mfumo wa 6 | 6 ilikuwa inasonta/resembles neno la mungu lenye vitabu 66.

Mm nimemaliza kwa upande wangu Kama una hoja ilete.

Sasa tuje kwako wewe na hio quran yako, nijibu maswali yafutayo:
— Je, quran imeshushwa? kama imeshushwa kwann muhammad awe na scribers(waandishi)? Tena mmoja wa waandishi wake alikimbia na kukana uislamu(Abdullah ibn Sa'd ibn Abi Sarh) baada ya kuwa na wasiwasi na muhammad, then baadae muhammad akatoa order akamatwe auliwe.
— Je, quran imeshushwa? kama imeshushwa kwann iwe na variations tofauti tofauti??
— Je, quran imeshushwa? Kama imeshushwa kwann caliph Uthman Ibn Affan atoe order ya kuchoma version za quran zote but ibakie moja ambayo yeye aliipenda na kuiona ipo sahihi??
— Je, quran ni ya kweli? Kama ni ya kweli kwann muhammad tu ndio awe anapokea hizo revelations kutoka kwa allah, tena akiwa peke yake pangoni, kwan allah hakuweza kumtokea mtu mwingine? Kweny biblia Mungu tunaona amewatokea manabii na watu wengi, amewapa revelations mitume, wafalme, manabii na watu wengi wa rika na races tofauti tofauti, why only muhammad kweny quran, why only one man?? Unajua cult nyingi zinaanzaje?? Zinaanza kwa mtu mmoja tu kusema yeye ndio yeye, mtu mmoja kusema yeye ndio nabii wa mwisho wa mungu, kusema yeye pekee ndio anayepokea maagizo kutoka kwa mungu hakuna mtu mwingine anayeweza na kuua watu wanaohoji utume wake.

Covax Be careful on what you believe!
Mkuu naomba tujibu hoja yako, kuhusu Qur’an antaanzisha Mada yako wahusika watakujibu.

Kudai vitabu 66 pekee ndivyo vilivyoongozwa na Roho Mtakatifu ni dai la kanisa, si dai la maandiko yenyewe.Hakuna andiko ndani ya Biblia linalosema vitabu vyote 66” ndivyo pekee vilivyovuviwa

Hii ni orodha iliyokubaliwa na baraza la kanisa (Council of Carthage 397 AD), na hata kabla ya hapo kulikuwa na mijadala mikali kuhusu baadhi ya vitabu kama Ufunuo, Waebrania, Yakobo n.k. Je, Roho Mtakatifu alihitaji kura za wanadamu kuthibitisha kilicho “cha kiMungu”?

Biblia haijajidhihirisha kuwa na “ujumbe mmoja unaoleweka” bila migongano:Tofauti za simulizi kuhusu tukio lilelile ni ushahidi tosha:

Kuzaliwa kwa Yesu (Mathayo 1–2 vs Luka 1–2),

Ufufuo wake (Mathayo 28, Marko 16, Luka 24, Yohana 20),

Mauti ya Yuda (Mathayo 27:5 vs Matendo 1:18),

Mlolongo wa vizazi vya Yesu (Mathayo 1 vs Luka 3).

Hapo bado unaamini kwamba biblia ni neno la Roho mtakatifu au umejazwa tu na dogma (believing minus reasoning)
 
Kudai vitabu 66 pekee ndivyo vilivyoongozwa na Roho Mtakatifu ni dai la kanisa, si dai la maandiko yenyewe.Hakuna andiko ndani ya Biblia linalosema vitabu vyote 66” ndivyo pekee vilivyovuviwa
Wewe ndio unayetaka liwe dai la kanisa, inspired books zilikuwa zinajulikana even before the council of carthage, kilichofanyika kweny council of carthage ni kuweka tiki/kutia mkazo kwa vitu ambavyo tayar vilikuwa vinajulikana, inspired books were already known and non-inspired were already known, mfano ni kitabu cha Apocrypha, kilikuwa kinajulikana kabisa in christian communities kwamba ni non-canonical/non-inspired.

Council of carthage was not the deciding factor, Mungu ndio anayewaongoza watu wake kufahamu inspired books apart from non-inspired books na sio council of carthage kama mnavodanganyana waislamu.

Biblia haijajidhihirisha kuwa na “ujumbe mmoja unaoleweka” bila migongano:Tofauti za simulizi kuhusu tukio lilelile ni ushahidi tosha:

Kuzaliwa kwa Yesu (Mathayo 1–2 vs Luka 1–2),

Ufufuo wake (Mathayo 28, Marko 16, Luka 24, Yohana 20),

Mauti ya Yuda (Mathayo 27:5 vs Matendo 1:18),

Mlolongo wa vizazi vya Yesu (Mathayo 1 vs Luka 3)
Niambie utofauti uko wapi hapo, point tatizo lilipo tuli-discuss, be specific, piga kweny mshono, point directly.
Hapo bado unaamini kwamba biblia ni neno la Roho mtakatifu au umejazwa tu na dogma (believing minus reasoning)
Mimi nina reasoning na bado nafanya reasoning kila siku kuhusu dini yangu, na ndio maana nakujibu hoja zako bali wewe unaishi kuleta uongo wa kuanzisha uzi mwingine ukiulizwa kuhusu quran yako.
Anyway sio kosa lako, hata mtume wako alikuwa anachukia alipokuwa questioned kuhusu utume wake na revelation zake haswa na wayahudi, ndio maana akaanzisha vita dhidi yao kuanzia medina hadi Khaybar.
 
Wewe ndio unayetaka liwe dai la kanisa, inspired books zilikuwa zinajulikana even before the council of carthage, kilichofanyika kweny council of carthage ni kuweka tiki/kutia mkazo kwa vitu ambavyo tayar vilikuwa vinajulikana, inspired books were already known and non-inspired were already known, mfano ni kitabu cha Apocrypha, kilikuwa kinajulikana kabisa in christian communities kwamba ni non-canonical/non-inspired.

Council of carthage was not the deciding factor, Mungu ndio anayewaongoza watu wake kufahamu inspired books apart from non-inspired books na sio council of carthage kama mnavodanganyana waislamu.

Niambie utofauti uko wapi hapo, point tatizo lilipo tuli-discuss, be specific, piga kweny mshono, point directly.

Mimi nina reasoning na bado nafanya reasoning kila siku kuhusu dini yangu, na ndio maana nakujibu hoja zako bali wewe unaishi kuleta uongo wa kuanzisha uzi mwingine ukiulizwa kuhusu quran yako.
Anyway sio kosa lako, hata mtume wako alikuwa anachukia alipokuwa questioned kuhusu utume wake na revelation zake haswa na wayahudi, ndio maana akaanzisha vita dhidi yao kuanzia medina hadi Khaybar.
Mkuu ntakurekebisha mpaka pale utakapo elewa tu. Dai kuwa vitabu vilijulikana kabla ya Council of Carthage ni nusu ukweli:

Ni kweli baadhi ya maandiko yalikuwa yakitumika mapema, lakini hakukuwa na orodha iliyokubalika kwa wote. Makanisa tofauti yalikuwa na orodha tofauti. Mfano:
Kanisa la Mashariki (Syria) halikukubali Ufunuo wa Yohana kwa muda mrefu.

Waebrania, Yakobo, 2 Petro, 2 na Yohana pia vilipingwa na makanisa mengi kabla ya karne ya

Vitabu vya Apokrifa kama Maccabees, Wisdom, Sirach vilitumika na kukubaliwa na Wakatoliki hadi leo.

Kudai kwamba “Mungu aliwaongoza watu wake kutambua vitabu sahihi” ni dai la kiimani, si la kihistoria.

Kama kweli waumini waliweza kutambua pasipo shaka vilivyoandikwa kwa ufunuo, kwanini kulikuwa na mivutano hadi karne ya nne? Kwa nini watu wa Mungu walihitaji karne nyingi kuelewana?

Apocrypha si ushahidi wa kutosha: Apokrifa zilitumika sana na hata zipo katika Biblia ya Wakatoliki hadi leo.

Biblia ya kwanza ya King James (1611) iliweka Apokrifa katikati ya Agano la Kale na Jipya haikupigwa marufuku hadi baadaye na Waprotestanti.
 
Mzee kabla hatujaendelea mbele inabidi ujue kitu kimoja, ukristo una historia kubwa na pana, na katika historia hio kuna some dark times.

Dark times zilikuja baada ya Romans(warumi) ku-adapt Christianity, kuingia kanisani na kujifanya wakristo, wali-adapt Christianity sio kwa sababu waliupenda ukristo, ni kwasababu Constantine(mfalme) alibadili dini na kuwa mkristo na kufanya ukristo kuwa kama state religion, so ukitaka position nzuri serikalini na uwe karibu na mfalme ilibidi uwe mkristo.

Romans walivoingia kweny ukristo walikuja na maupumbavu yao yote ya kipagani, kwasababu conversion yao haikuwa from the heart(kuupenda ukristo) but it was for survival, ndio ikazaliwa Roman Catholic. Romans waliuchukua ukristo sana so walijaribu kila namna kufanya ukristo ufanane na dini zao za kipagani ndio maana waka introduce practice nyingi na mapokeo ambayo hayapo kweny maandiko(hadi kubadilisha amri kumi za mungu), hii ilifika hadi kuongeza vitabu ambavyo ni non-inspired/non-canon kweny the 66 inspired books. Vitabu ambavyo vilikuwa na mafundisho ambayo yanafanana na ya kipagani.

Martin Luther(first refomer) saw this na akaviondoa hivo vitabu kweny list ya the real 66 inspired books. He separated inspired from non-inspired books.

So hizi purukushani za hapa na pale zilikuwepo, but christians knew what were the inspired books, the real Christians from the first church after Jesus, walikuwa na manuscripts, zilikuwa bado hazipo compiled together but walikuwa nazo na walizitunza na kuzi replicate kwa umakini mkubwa ili injili isambae kwa usahihi. These early christians walibeba jukumu kubwa sana la ku-preserve maandiko na walifanikiwa kwa msaada wa mungu.

So before making these arguments lazima ujue kwanza historia ya ukristo na madhehebu yake, ukristo upo complicated, umepitia ups and down nyingi sana, but somehow kwa msaada wa mungu hadi leo tuna 66 inspired books Mungu alizotaka tuwe nazo even before injili hazijaandika, kama nilivokutolea mfano wa mikate 12 kweny hekalu takatifu la Musa ilivokuwa inapangwa yaan 6 | 6 but due to your ignorance and pride ime-ignore hio point kwasababu inakuumbua.

Covax
 
JE, HIZI SIFA ZA KISHETANI ZA MUHAMMAD NI ZA KITUME?

1. Muhammad alizini na kijakazi
2. Muhammad alikuwa na changu doa
3. Muhammad alinyonya ulimi wa mwenzake
4. Muhammad alikuwa Mlevi
5. Muhammad alikuwa amerogwa

Wengi wenu labda hakuwa mnazifahamu hizi siri ambazo Waislam wanazificha kila siku. Naam, naziita siri kwasababu huwa hawasemi huu ukweli wa Muhammad Mtume wa Allah.

MTUME MUHAMMAD ALIFUMANIWA NA KIJAKAZI WA MKEWESiku moja mtume (s.a.w) Alikuwa Nyumbani kwa Mkewe Hafsa bint Umar, Hafsa akaenda kwa Baba yake kumjulia hali, Mtume (s.a.w) alimwita Mjakazi wake bibi Mariya Alqbitiyya, akawa nae Chumbani, Aliporudi Hafsa Akasema Maneno makali kwa Mtume juu ya tendo hilo (s.a.w) Mtume akasema nakuhakikishia Kuwa: Kuanzia Leo Sitamwingilia tena, mjakazi wako.
(Tafsir Ibn Kathir J. 6 Uk. 367)
Je, huku kufumaniwa ndio sifa za kitume?

MTUME MUHAMAMD ALIKUWA NA CHANGU DOASunan Abu-Dawud, Kitabu 38, Namba 4458: Amehadithia Ali ibn AbuTalib: "Mtumwa wa Kisichana ambaye alikuwa mali ya nyumba ya Mtume wa Allah aligawa Uroda kwa Rafiki ya Muhammad. Basi Nabii wa Allah akasema kwa Ali: Nenda na ukampe adhabu Muasherati wangu kwa kufanya Ngono bila ya ruhusa yangu. Ali akaharakisha kwenda alipo yule Mtumwa wa Kisichana wa Muhammad na kuona damu ilikuwa inatiririka kutoka kwake, na bila kuacha. Hivyo Muhammad alikwenda kwake na akasema: Mwache damu iendelee kutiririka mpaka itakopo simama; kisha mpe adhabu kwa mujibu wa dhambi yake".
Hakika Muhammad alikuwa ni Nabii wa Shetani anaye fuga Watumwa na kuedekeza uzinzi.

MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSANHadith Idadi 16,245: "maneno ya Washami," Hadith ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan": "Nilimwona Nabii wa Allah(saw) - akimnyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al-Hassan Mwana wa Ali, Mwenyezi Mungu amrehemu, maana hakuna mtu atakaye teswa kwa Moto wa Jehannam baada ya kunyonywa ulimi na kulambwa midomo na Nabii wa Allah.
Mnaona tabia chafu ya Nabii wa Allah? Eti akikula denda na kukulamba midomo basi wewe huto kwenda Jehannam. Pia alisema, "Siku baadaye tuliomba muuguzi kwa ajili yake (Ali) lakini alikataa, basi tukamwita Nabii Muhammad - SAW -.ambaye alimnyonya ulimi "Ali" kwa kinywa chahe mpaka akalala. Hivi ndivyo Allah alivyo taka Ali afanyiwe na Nabii wake

MTUME MUHAMMAD ALIKUWA MLEVISahihi Muslim 3753:'' Sisi tulikuwa pamoja na Mtume wa Allah, na Yeye Mtume wa Allah alikuwa na kiu na mtu mmoja akasema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, Je, UNATAKA KUNYWA MVINYO? Mtume Muhammad akasema: NDIO. Basi yule Mtu alikwenda kuleta mvinyo. Mtume wa Allah akamwambia: Lete MVINYO ULIO MKALI ILI NINYWE; Basi Mtume wa Allah alipo kunywa ule MVINYO MKALI ALILEWA

MTUME MUHAMMAD ALIKUWA AMEROGWAPia, kwa mujibu wa Sahih Bukhari juzuu ya 4, Kitabu cha 54, Hadithi namba 490 na Sahih Bukhari, juzuu ya 7, kitabu cha 71, hadithi namba 658; Muhammad alirogwa na akazurika na uchawi. Kisa cha mtume kurogwa na kuzurika na uchawi pia kinasimuliwa katika quran Tafsiri ya Sheikh Abdullah Saleh Al-Farsy ukurasa wa 977 na 978.

MASWALI: (a) Ikiwa uchawi ni ukafiri, Kuna uhusiano gani kati ya Allah na ukafiri mpaka atelemshe uchawi?
(b)Mtume Muhammad alirogwa na wachawi wa kiislam au wachawi wengine?
(c) Mtume Muhammad alirogwa na uchawi ulioteremshwa na malaika wa Allah au uchawi mwingine?
(d) Mtume au nabii gani mwingine alirogwa na akaathirika na uchawi?

Kama Muhamamd alikuwa Mtume wa Mungu, mbona tabia zake ni za kishetan?
Hii imeingilia mada ya leta mada ya kwako, hii haiendani na hoja iliyopo mezani.
 
Back
Top Bottom