Hapa ndipo unaweza kujaji uelewa mtu ukoje.Mkuu komeo la chuma zingatia Mada hi mada sio Muhammad vs Bible acha kua mpuuzi wa kutukana Dini za watu. Kadhi Mkuu 1 njooni huyu mwenzenu hanaga hoja
Mkuu kweli ndo walivo ila tunapambana nao hivo hivo mpaka wapate maarifa kuna wanao fanya makusaudi kuvuruga uzi ili waendelee kupotosha watu.Hapa ndipo unaweza kujaji uelewa mtu ukoje.
mfano: mtu aulize ng'ombe wa kisasa na ng'ombe wa kienyeji yupi nyama yake tamu.
Alafu anajibu ila nyati hafai, kwanza anaishi polini nyama yake baridii hata ukila na chumvi.
Mtu wa namna hii unamtofsutishaje na yule dada, anaeigiza hasikii vizuri akiulizwa/ kusemeshwa hili yeye anajibu lile
Mkuu kama mpaka leo dunia hii ya utandawazi unaamini kuwa hivi vitabu (Qur'an na Biblia) ni vitabu vya Mungu, basi pole sana. Waafrika mpaka kuelimika kutatuchukua muda sana.Tofauti hizi zinadhihirisha kuwa kanuni ya Biblia haikushuka moja kwa moja kutoka kwa Mungu, bali ilifanyiwa maamuzi na wanadamu hasa viongozi wa kidini katika karne za kwanza. Mfano:
Biblia ya Kiprotestanti ina vitabu 66 tu.
Biblia ya Wakatoliki ina 73.
Waaorthodoksi wana zaidi ya 76.
Waethiopia* wanayo yenye vitabu 81+.
Hii inaonyesha kuwa kile kinachochukuliwa kama โneno la Munguโ kinategemea dhehebu, si ufunuo wa moja kwa moja.
Kwa hiyo, swali la msingi linaendelea kubaki wazi: kama Mungu alitoa neno lake, kwa nini kuna toleo zaidi ya moja la "neno hilo"?
Hii ni changamoto kwa imani ya kwamba Biblia ni kitabu kilicholindwa moja kwa moja na Mungu bila makosa. Inaleta sababu ya kufikiria upya chanzo na uhalali wa maandiko haya.View attachment 3384697
Mkuu habari za asubuhi za tangu jana, nilikua occupied sana sikuweza ku-repond hoja yaka jana:Mzee kabla hatujaendelea mbele inabidi ujue kitu kimoja, ukristo una historia kubwa na pana, na katika historia hio kuna some dark times.
Dark times zilikuja baada ya Romans(warumi) ku-adapt Christianity, kuingia kanisani na kujifanya wakristo, wali-adapt Christianity sio kwa sababu waliupenda ukristo, ni kwasababu Constantine(mfalme) alibadili dini na kuwa mkristo na kufanya ukristo kuwa kama state religion, so ukitaka position nzuri serikalini na uwe karibu na mfalme ilibidi uwe mkristo.
Romans walivoingia kweny ukristo walikuja na maupumbavu yao yote ya kipagani, kwasababu conversion yao haikuwa from the heart(kuupenda ukristo) but it was for survival, ndio ikazaliwa Roman Catholic. Romans waliuchukua ukristo sana so walijaribu kila namna kufanya ukristo ufanane na dini zao za kipagani ndio maana waka introduce practice nyingi na mapokeo ambayo hayapo kweny maandiko(hadi kubadilisha amri kumi za mungu), hii ilifika hadi kuongeza vitabu ambavyo ni non-inspired/non-canon kweny the 66 inspired books. Vitabu ambavyo vilikuwa na mafundisho ambayo yanafanana na ya kipagani.
Martin Luther(first refomer) saw this na akaviondoa hivo vitabu kweny list ya the real 66 inspired books. He separated inspired from non-inspired books.
So hizi purukushani za hapa na pale zilikuwepo, but christians knew what were the inspired books, the real Christians from the first church after Jesus, walikuwa na manuscripts, zilikuwa bado hazipo compiled together but walikuwa nazo na walizitunza na kuzi replicate kwa umakini mkubwa ili injili isambae kwa usahihi. These early christians walibeba jukumu kubwa sana la ku-preserve maandiko na walifanikiwa kwa msaada wa mungu.
So before making these arguments lazima ujue kwanza historia ya ukristo na madhehebu yake, ukristo upo complicated, umepitia ups and down nyingi sana, but somehow kwa msaada wa mungu hadi leo tuna 66 inspired books Mungu alizotaka tuwe nazo even before injili hazijaandika, kama nilivokutolea mfano wa mikate 12 kweny hekalu takatifu la Musa ilivokuwa inapangwa yaan 6 | 6 but due to your ignorance and pride ime-ignore hio point kwasababu inakuumbua.
Covax
Mkuu Hatuwezi kuvikata kwa kauli zako au wenzako tunahitaji ushahidi wa ki-historai au mknganyika ndani ya hivyo vitabu mkuu tafuta ushahidi ulete tuujadili hapaMkuu kama mpaka leo dunia hii ya utandawazi unaamini kuwa hivi vitabu (Qur'an na Biblia) ni vitabu vya Mungu, basi pole sana. Waafrika mpaka kuelimika kutatuchukua muda sana.
Kwa mimi niliyesoma Bible history na canonicity japo kwa uchache nashindwa kucomment chochote kwa sababu mleta mada na wachangiaji wengi humu ndani kuna vitu vingi hawajui.Kwa mujibu wa swali lako, naona una shida ya kuilinganisha Biblia na Either kitabu kingine cha dini mathalan Quran tukufu.
Biblia haikushushwa full ikiwa kama kitabu kutoka kwa Mungu; bali ni mkusanyiko wa vitabu mbalimbali ambavyo vinaelezea matendo makuu ya Utukufu kwake Mungu mwenyewe.
Sasa pale utakuta Historia mbali mbali za wanadamu walio tembea vizuri katika utukufu wa Mungu, japo mifano mibaya ipo pia, kwaajili tu ya sisi wanadamu kujifunza na kuifuata njia iliyo sahihi .
Wakati mwingine Mungu alikuwa akiwapa watumishi wake Neno, (na sio Biblia) la kusema na watu, sasa wengine waliandika na wengine walisema na yakaandikwa. Alafu Baadae watu wengine walioongozwa na Roho wa Mungu mwenyewe wali compile na kufanya Biblia.
Kwa sisi WaKristo sasa haiwezi kutusumbua idadi ya vitabu kwenye Biblia ila ujumbe hasa ambao Mungu anatuelekeza kupitia Roho wake kwenye Neno lake.
Sasa ipi sahihi? Ni ile ambayo umesoma na Mungu akakupa Neno likakuvusha mahali.
Nikutafutie ushahidi wakati nishasoma historia ya hizi dini za kuletewa na sizihitaji maishani mwangu baada ya kupata ukweli. Jiulize ni kwanini baadhi ya vitabu vingine vimetupwa baada ya kuchujwa? MUNGU hajatunga kitabu chochote, everything juu ya hivi vitabu ni man made, kuviamini ni kujitakia matatizo ya kiakili tu.Mkuu Hatuwezi kuvikata kwa kauli zako au wenzako tunahitaji ushahidi wa ki-historai au mknganyika ndani ya hivyo vitabu mkuu tafuta ushahidi ulete tuujadili hapa
Mkuu unawakika na Imani yangu au ni mhemuko ndo unao kusumbua challenge maudhui ya mada sio mlete mada, umekosaa hoja unaleta udini wako hapa.Kwa mimi niliyesoma Bible history na canonicity japo kwa uchache nashindwa kucomment chochote kwa sababu mleta mada na wachangiaji wengi humu ndani kuna vitu vingi hawajui.
Ushauri wangu kwa mleta mada apambane na Imani yake. Mungu wa Wakristo na wa Waislam ni tofauti
Mkuu uko sahihi 50% ila kinacho kosekana kwako ni ushahidi wa maandiko tu af ndo tukufuate.Nikutafutie ushahidi wakati nishasoma historia ya hizi dini za kuletewa na sizihitaji maishani mwangu baada ya kupata ukweli. Jiulize ni kwanini baadhi ya vitabu vingine vimetupwa baada ya kuchujwa? MUNGU hajatunga kitabu chochote, everything juu ya hivi vitabu ni man made, kuviamini ni kujitakia matatizo ya kiakili tu.
Hii imeingilia mada ya leta mada ya kwako, hii haiendani na hoja iliyopo mezani.
Hii imeingilia mada ya leta mada ya kwako, hii haiendani na hoja iliyopo mezani.
ุญูุฏููุซูููุง ู ูุญูู ููุฏู ุจููู ูููุณููู ููุงูู ุญูุฏููุซูููุง ุณูููููุงูู ุนููู ู ูููุตููุฑู ุนููู ุฅูุจูุฑูุงูููู ู ุนููู ุงูุฃูุณูููุฏูุ ุนููู ุนูุงุฆูุดูุฉูุ ุฑูุถููู ุงูููููู ุนูููููุงุ ููุงููุชู:
kan alnnabi sly allh elyh wslm 'iidha 'arad 'an yubashir 'iihdaa nisayih wahi hayidun, 'amaraha 'an tattazir fayubashiruha.haddathana muhammad bn yusuf qal haddathana sufyan ean mansur ean 'iibrahim ean al'aswadi, ean eayishata, radi alllah eanha, qalat:
Muhammad ibn Yusuf narrated: Sufyan narrated from Mansur, from Ibrahim, from al-Aswad, from Aisha (may Allah be pleased with her), who said:
Madhara ya kuokoka ukiwa umeishia darasa la saba B, ndo wewe sasa, unakurupukas sana hata hujui kuanda hoja.Muddy alikuwa ana fanya sex na wakeze wakiwa period/hedhi.
Sahih al-Bukhari โ Hadithi Na. 299
Kila Mtume (Swalla Allaahu โalayhi wa aalihi wa sallam) anapotaka kufanya tendo la ndoa na mmoja wa wake zake akiwa katika hedhi, alikuwa akimuamuru ajifunge nguo ya chini (kiuno) kisha afanye naye tendo la ndoa.
[emoji433] ุตุญูุญ ุงูุจุฎุงุฑู โ ุงูุญุฏูุซ ุฑูู 299
ููุงูู ุงููููุจูููู ๏ทบ ุฅูุฐูุง ุฃูุฑูุงุฏู ุฃููู ููุจูุงุดูุฑู ุฅูุญูุฏูู ููุณูุงุฆููู ูููููู ุญูุงุฆูุถูุ ุฃูู ูุฑูููุง ุฃููู ุชูุชููุฒูุฑู ููููุจูุงุดูุฑูููุง.
Sahih albukharii - alhadith raqm 299
kan alnnabi sly allh elyh wslm 'iidha 'arad 'an yubashir 'iihdaa nisayih wahi hayidun, 'amaraha 'an tattazir fayubashiruha.
Sahih al-Bukhari โ Hadith No. 299
Whenever the Prophet (peace and blessings be upon him) wanted to have sexual intercourse with one of his wives while she was menstruating, he would order her to wrap herself in a lower garment (waist wrap) and then he would engage in sexual intercourse with her
Madhara ya kuokoka ukiwa umeishia darasa la saba B, ndo wewe sasa, unakurupukas sana hata hujui kuanda hoja.
ุญูุฏููุซูููุง ู ูุญูู ููุฏู ุจููู ูููุณููู ููุงูู ุญูุฏููุซูููุง ุณูููููุงูู ุนููู ู ูููุตููุฑู ุนููู ุฅูุจูุฑูุงูููู ู ุนููู ุงูุฃูุณูููุฏูุ ุนููู ุนูุงุฆูุดูุฉูุ ุฑูุถููู ุงูููููู ุนูููููุงุ ููุงููุชู:
kan alnnabi sly allh elyh wslm 'iidha 'arad 'an yubashir 'iihdaa nisayih wahi hayidun, 'amaraha 'an tattazir fayubashiruha.haddathana muhammad bn yusuf qal haddathana sufyan ean mansur ean 'iibrahim ean al'aswadi, ean eayishata, radi alllah eanha, qalat:
Muhammad ibn Yusuf narrated: Sufyan narrated from Mansur, from Ibrahim, from al-Aswad, from Aisha (may Allah be pleased with her), who said:
Mkuu pure rubbish [emoji1005]Muddy alikuwa ana fanya sex na wakeze wakiwa period/hedhi. Jamaa alikuwa mzinzi aliyekubuhu. Ni role model wangu.[emoji16] Nafuata nyayo zake.
Sahih al-Bukhari โ Hadithi Na. 299
Kila Mtume (Swalla Allaahu โalayhi wa aalihi wa sallam) anapotaka kufanya tendo la ndoa na mmoja wa wake zake akiwa katika hedhi, alikuwa akimuamuru ajifunge nguo ya chini (kiuno) kisha afanye naye tendo la ndoa.
[emoji433] ุตุญูุญ ุงูุจุฎุงุฑู โ ุงูุญุฏูุซ ุฑูู 299
ููุงูู ุงููููุจูููู ๏ทบ ุฅูุฐูุง ุฃูุฑูุงุฏู ุฃููู ููุจูุงุดูุฑู ุฅูุญูุฏูู ููุณูุงุฆููู ูููููู ุญูุงุฆูุถูุ ุฃูู ูุฑูููุง ุฃููู ุชูุชููุฒูุฑู ููููุจูุงุดูุฑูููุง.
Sahih albukharii - alhadith raqm 299
kan alnnabi sly allh elyh wslm 'iidha 'arad 'an yubashir 'iihdaa nisayih wahi hayidun, 'amaraha 'an tattazir fayubashiruha.
Sahih al-Bukhari โ Hadith No. 299
Whenever the Prophet (peace and blessings be upon him) wanted to have sexual intercourse with one of his wives while she was menstruating, he would order her to wrap herself in a lower garment (waist wrap) and then he would engage in sexual intercourse with her.
Mkuu, from Biblical perspective we are living in the dispensation of Grace. There are Genuine or authentic Christians who believe the Bible is the Word of God revealed to men by inspiration of the Holy Spirit. There are the so called Christians whom for them Christianity is religion, i.e set of rules and rituals.Mkuu unawakika na Imani yangu au ni mhemuko ndo unao kusumbua challenge maudhui ya mada sio mlete mada, umekosaa hoja unaleta udini wako hapa.
Mkuu pure rubbish [emoji1005]
Mkuu pure rubbish [emoji1005]
ุญูุฏููุซูููุง ู ูุญูู ููุฏู ุจููู ูููุณููู ููุงูู ุญูุฏููุซูููุง ุณูููููุงูู ุนููู ู ูููุตููุฑู ุนููู ุฅูุจูุฑูุงูููู ู ุนููู ุงูุฃูุณูููุฏูุ ุนููู ุนูุงุฆูุดูุฉูุ ุฑูุถููู ุงูููููู ุนูููููุงุ ููุงููุชู:
kan alnnabi sly allh elyh wslm 'iidha 'arad 'an yubashir 'iihdaa nisayih wahi hayidun, 'amaraha 'an tattazir fayubashiruha.haddathana muhammad bn yusuf qal haddathana sufyan ean mansur ean 'iibrahim ean al'aswadi, ean eayishata, radi alllah eanha, qalat:
Muhammad ibn Yusuf narrated: Sufyan narrated from Mansur, from Ibrahim, from al-Aswad, from Aisha (may Allah be pleased with her), who said:
ุญูุฏููุซูููุง ู ูุญูู ููุฏู ุจููู ูููุณููู ููุงูู ุญูุฏููุซูููุง ุณูููููุงูู ุนููู ู ูููุตููุฑู ุนููู ุฅูุจูุฑูุงูููู ู ุนููู ุงูุฃูุณูููุฏูุ ุนููู ุนูุงุฆูุดูุฉูุ ุฑูุถููู ุงูููููู ุนูููููุงุ ููุงููุชู:
kan alnnabi sly allh elyh wslm 'iidha 'arad 'an yubashir 'iihdaa nisayih wahi hayidun, 'amaraha 'an tattazir fayubashiruha.haddathana muhammad bn yusuf qal haddathana sufyan ean mansur ean 'iibrahim ean al'aswadi, ean eayishata, radi alllah eanha, qalat:
Muhammad ibn Yusuf narrated: Sufyan narrated from Mansur, from Ibrahim, from al-Aswad, from Aisha (may Allah be pleased with her), who said:
Usijichanganye, I don't want you to follow me.....to be me, you have to be very unique and smart. Nimekupa ufunguo ili ufungue mlango mwenyewe, soma ili ujuwe ukweli juu ya hizi dini na vitabu vyao vya kugushi.Mkuu uko sahihi 50% ila kinacho kosekana kwako ni ushahidi wa maandiko tu af ndo tukufuate.
Mkuu uko sahihi 50% ila kinacho kosekana kwako ni ushahidi wa maandiko tu af ndo tukufuate.