herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,967
- 3,212
+ Ntampata wapiHakuna wimbo wake ambao utakuja fikia ukimwona Manecky ile beat aliitendea haki halafu kutoumalizia ukavujishwa ukiwa na hanging chorus it was a blessing in disguise maana ulipendeza sana.
Toka 2012 mpaka leo nausikiliza na huwa haushi uzuri
ubarinolutu,
Wimbo bora wa Kijana Dai ni ule ambao yupo Joketi na Lissa
ubarinolutu,
Wimbo bora wa Kijana Dai ni ule ambao yupo Joketi na Lissa
Mawazoubarinolutu,
Wimbo bora wa Kijana Dai ni ule ambao yupo Joketi na Lissa
Nana ni #2 kwanguChibu hajawahi na hatawahi kuimba wimbo mkali kana NANA, afu Mr flavour alichomfanya kwenye huo wimbo hatasahau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Diamond hajawahi na hatowahi imba wimbo mzuri kama UKIMUONA.
NB
Japo mimi sio mpenzi sana wa music ila jamaa alitisha sana sio sasa anaimba matusi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Diamond cha mtoto, wasanii wa siku hizi hawajui kupenda, kiboko alikua Juma Nature alitendwa na Sinta akamtungia album kabisa, mana maumivu yasingetosha kuelezea kwa nyimbo moja au mbili,
Sidhani kama atakuja kuimba wimbo kama huu tena....THAT WAS CLASSICDiamond hajawahi na hatowahi imba wimbo mzuri kama UKIMUONA.
NB
Japo mimi sio mpenzi sana wa music ila jamaa alitisha sana sio sasa anaimba matusi tu
Sent using Jamii Forums mobile app