Kati ya hizi Nyimbo za Diamond alizowaimbia Zari na Wema, zipi zilikuwa Kali, je ndo alipendwa zaidi

Kati ya hizi Nyimbo za Diamond alizowaimbia Zari na Wema, zipi zilikuwa Kali, je ndo alipendwa zaidi

Hakuna wimbo wake ambao utakuja fikia ukimwona Manecky ile beat aliitendea haki halafu kutoumalizia ukavujishwa ukiwa na hanging chorus it was a blessing in disguise maana ulipendeza sana.
Toka 2012 mpaka leo nausikiliza na huwa haushi uzuri
+ Ntampata wapi
 
Salome-mobeto
Moyo wangu-wema sepetu
Nitampata wapi-zari
Je utanipenda-wolper
Gere-natasha

Tuendeleee.......
 
Diamond cha mtoto, wasanii wa siku hizi hawajui kupenda, kiboko alikua Juma Nature alitendwa na Sinta akamtungia album kabisa, mana maumivu yasingetosha kuelezea kwa nyimbo moja au mbili,
 
Back
Top Bottom