Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyamagana n kijiji kikubwaHabari wadau . Nataka kufaham kati ya wilaya ilala (Jiji) dar es salaam na wilaya ya nyamagana (Jiji) mwanza. Ip imeendelea kimajengo, miundombinu, mapato na huduma za kijamii
Mmmmmm ilala vs Mwanza mzima.....hapo sawa...Habari wadau . Nataka kufaham kati ya wilaya ilala (Jiji) dar es salaam na wilaya ya nyamagana (Jiji) mwanza. Ip imeendelea kimajengo, miundombinu, mapato na huduma za kijamii
Tembea ufanye research majibu ya hapa Ni ya mashindano na mabishanoHabari wadau . Nataka kufaham kati ya wilaya ilala (Jiji) dar es salaam na wilaya ya nyamagana (Jiji) mwanza. Ip imeendelea kimajengo, miundombinu, mapato na huduma za kijamii
Soko kubwa Afrika Mashariki na kati lipo Ilala.Habari wadau . Nataka kufaham kati ya wilaya ilala (Jiji) dar es salaam na wilaya ya nyamagana (Jiji) mwanza. Ip imeendelea kimajengo, miundombinu, mapato na huduma za kijamii
Ila nyamagana Ina maghorofa ya kisasa pia Ina mzunguko wa watu wengi Sana mjini. Pia biashara ImechangamkaIla wasukuma mnajipaga moyo kijinga yaani. Swali gani sasa hili
Yaani ushamba wenu unawafanyaga mnaona mwanza ni likitu limoja kubwaaaaaaaa kama Newyork labda. Mtu umetoka Nyancheche huko sengerema au Nyabila kata ya Ngoma unafika nyamagana unajiona umeshaona kila kitu, unahisi hata Ilala haifui dafu.
Hebu tafuta nauli kwa shemeji yako huyo polisi hapo nyamagana uende Dar ukapanue uelewa wako
Ila nyamagana Ina maghorofa ya kisasa na pia Kuna mzunguko wa watu wengi na biashara ipoHapo linganisha ilala na mwanza, bado mwanza hatoboi kivyovyote....si kimakazi wala idadi ya watu wala kimapato wa kimajengo.....yahn mwanza anakalishwa nje ndani.
Nyamagana Kuna msikiti mkubwa Africa mzimaSoko kubwa Afrika Mashariki na kati lipo Ilala.
. Nyamagana kuna nini?
Sanaa na hawana elimu. Washamba wakubwaWengi wanao bishania miji huwa ni walala hoi .
Acha kulinganisha Ilala na vitu vya kijinga..!! We ngosha au?Habari wadau . Nataka kufaham kati ya wilaya ilala (Jiji) dar es salaam na wilaya ya nyamagana (Jiji) mwanza. Ip imeendelea kimajengo, miundombinu, mapato na huduma za kijamii
Ila kuna watu huwa sometime tunajizima data 😆Habari wadau . Nataka kufaham kati ya wilaya ilala (Jiji) dar es salaam na wilaya ya nyamagana (Jiji) mwanza. Ip imeendelea kimajengo, miundombinu, mapato na huduma za kijamii