Genesis 1:28 God blessed them(people) and told them" multiply and fill the earth and subdue it . Be masters over the fish and birds and all animals"
Kumbukumbu 28: Itakuwa utakapoisikiza sauti ya Bwana Mungu wako, na kufanya maagizo yake, utabarikiwa mjini utabarikiwa na mashambani, utabarikiwa uzao wa tumbo lako na uzao wa nchi yako, , na uzao wa wanyama wako wa mifugo, , litabarikiwa kapu lako na chombo chako Cha kukandia unga,
Utabarikiwa uingiapo utabarikiwa utokapo. Bwana atafanya adui zako kupigwa mbele yako...