matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
-
- #21
Hapo sawa๐๐ฎ๐ง๐ ๐ฆ๐๐ญ๐๐ฃ๐ข๐ซ๐ข ๐ฐ๐๐ฆ๐๐ฌ๐ก๐ข๐ค๐ ๐๐ข๐ง๐ ๐ง๐ ๐ฏ๐ข๐ฅ๐๐ฏ๐ข๐ฅ๐ ๐ค๐ฎ๐ง๐ ๐ฆ๐๐ฌ๐ค๐ข๐ง๐ข ๐ฐ๐๐ง๐๐จ๐ฌ๐ก๐ข๐ง๐๐ ๐ค๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐ ๐ง๐ฒ๐ฎ๐ฆ๐๐ ๐ณ๐ ๐ข๐๐๐๐.. ๐๐๐ฆ๐ ๐ข๐ฅ๐ข๐ฏ๐ฒ๐จ ๐ค๐ฐ๐ ๐ฆ๐๐ญ๐๐ฃ๐ข๐ซ๐ข ๐ฐ๐๐ฌ๐ข๐จ๐ฃ๐ฎ๐ ๐๐ข๐ง๐ข ..
๐๐จ๐ญ๐ ๐ค๐ฐ๐ ๐ฒ๐จ๐ญ๐ ๐ฆ๐ข๐ณ๐๐ง๐ข ๐ข๐ฉ๐จ ๐ฌ๐๐ฐ๐
AmeenGenesis 1:28 God blessed them(people) and told them" multiply and fill the earth and subdue it . Be masters over the fish and birds and all animals"
Kumbukumbu 28: Itakuwa utakapoisikiza sauti ya Bwana Mungu wako, na kufanya maagizo yake, utabarikiwa mjini utabarikiwa na mashambani, utabarikiwa uzao wa tumbo lako na uzao wa nchi yako, , na uzao wa wanyama wako wa mifugo, , litabarikiwa kapu lako na chombo chako Cha kukandia unga,
Utabarikiwa uingiapo utabarikiwa utokapo. Bwana atafanya adui zako kupigwa mbele yako...
๐๐Mada yako nzuri na fikirishi ila pia ni chonganishi endapo utulivu wa kichwa hautakuwepo. Kichwa cha chini kikitulia narudi kuchangia.
Mzee baba hakuna impact sema kuna mentallity ya kuachana na mambo fulani, kuna Hadzabe wale washachagua kukaa msituni mpaka kufa kwao zipo jamii nyingi sana africa hata chini wapo watu wanatumia himaya ya budha mpaka kufa kwao wengine hata familia hawana time ya kuzaa watoto.Hapo sawa
Katika uislamu kusoma ni lazima , lazima usome dini yote ni elimu .Kati ya watu wa dini za asili, waislam na wakristo, angalau wakristo wanamsisitizo wa elimu.
Ni kweli hata wazungu wa kikristo kwenye monastery nyingi wamejifungia wanasali na hawafanyi kazi yoyote.Mzee baba hakuna impact sema kuna mentallity ya kuachana na mambo fulani, kuna Hadzabe wale washachagua kukaa msituni mpaka kufa kwao zipo jamii nyingi sana africa hata chini wapo watu wanatumia himaya ya budha mpaka kufa kwao wengine hata familia hawana time ya kuzaa watoto.
Usome nini.Katika uislamu kusoma ni lazima , lazima usome dini yote ni elimu .
Na yako ya jadi pia reference ya ubunifu wao ni nyumba za misonge na mapango hahahaHizo dini zenu za Wazungu na Waarabu
Chaguo lao, maana kifo tu ndio tuna uhakika nacho.Ni kweli hata wazungu wa kikristo kwenye monastery nyingi wamejifungia wanasali na hawafanyi kazi yoyote.
Mamonk wahindu na wakichina wanaishi wanasali bila kazi.
Nimekuelewa sana.
Elimu yote ile unayojua kwa sababu elimu ya kwanza kupewa mwanadamu ni ya mazingira ...Kuna elimu nyingi sana sema ni mfumo ambao dunia ya sasa haitambui.Usome nini.
HERI WALIO MASIKINI KATIKA KRISTO MAANA HAO NI MATAJIRI
UKIMFUATA YESU KRISTO HAUNA UMASIKINI WOWOTE