Kati ya Jay Moe na Fid Q nani mkali?

Kati ya Jay Moe na Fid Q nani mkali?

mashairi yalipangika, yenye vina , yenye ujumbe, flow nzuri, kupita kwenye beat vizuri sana

humkinai kumsikiliza
MALCOM LUMUMBA
Screenshot_20221125_084952_com.audiomack.jpg
 
Ni hatari huyo Mo mashoto .Ule wimbo wake wake wa stori 3 usikilize .Kutunga hadithi 3 ndani ya nyimbo moja sio masihara na zote zinaeleweka .Huyo machunusi wako hata awekwe library ya mkoa miaka 10 hawezi kutunga wimbo ka huo labda kidogo Ngwair.
Ohooo machunusi tena[emoji2][emoji2]
 
  • Thanks
Reactions: EEX
Moja ya nyimbo zangu pendwa kutoka Kwa msanii wa Rap' Fid Q ft Paul clement - Tajiri yangu"
Kwenye second verse kuna sehemu anasema "Hauwezi Kununua Uhai Sasa Unajidai Kwa Lipi"?

Fid Q Baba lao💯🙌🙌

"Kwangu furaha nikiwa na MUNGU sio mlungula

Na pia siku zote mla raha na chungu hula

Najua nilipotokaa, Najua wapi nilipo isipokuwa ni we pekee unajua lini nitafika mwisho"

huu wimbo ni gospel flani inspirational ni kama fid alikuwa anaongea na Sir. God ile deep. Naukubali sana pia, ngoja niudaunilodi ✊
 
Back
Top Bottom