Kati ya Jay Moe na Fid Q nani mkali?

Kati ya Jay Moe na Fid Q nani mkali?

Kwahiyo Mo juu[emoji2]
Ndio maana yeka mwanawane.. Ebu siki vitu hapaaa... Aseeee leo nimepata mood ya weekend acha nisake kiwanje kizuri nimpe DJ list yangu 😅😅😅😅

Screenshot_20221125_090229_com.audiomack.jpg


MALCOM LUMUMBA
Poor Brain
 
Fid Q - Sihitaji Marafiki 🔥🔥🔥🔥

Jay mo ana sound flani ya kipekee na commercial inayovutia watu wengi zaidi ila fid Q ni Hip Hop ndio maana nyimbo zake nyingi zinajaa punchlines

Binafsi yangu, Fid Q ✊✊
 
Tufanye kulist hit songs za kila mmoja

Naanza fid Q
1. Am professional
2. Mwanza mwanza
3. August 13
4. Ielewe mitaa
5. Propaganda
6. Ulimi mbili
7. bongo hiphop
8. Utaua game
9. Danger
10. Shimo limetema
11. Usinikubali haraka
13. Maselabration
14. Tajiri yangu
15. Temanoleji
16. Bendera ya chuma
17. Sumu
18. Ole chizza


Mtu aje na list ya jay Mo mchopanga tafadhari[emoji120]
 
Back
Top Bottom