Kati ya Jay Moe na Fid Q nani mkali?

Kati ya Jay Moe na Fid Q nani mkali?

.jymoo maisha ya body
Hatarii sana ile ngomaaaa 😅😅
Screenshot_20221125_134747_com.audiomack.jpg
 
Fid Q bwana japo Mo naye mkali.
Sihitaji marafiki
Ripoti za mtaani
 
Hahahaa sema hamkomagi, mnawafata hivyo hivyo mkihisi labda watabadilika af badae wakiwamalizia hela mnalalamika🤣🤣
Sio wachumi, mtu unamuuliza kabla hajafika, inakuwa nzuri akisema Savanna mbili, unachukua cha ten, ikiisha tena mnafunga safari, acha kadi ya bank home, no connection ya simbanking na salio kwenye mpesa na simu unaacha home kabisa.. Ikiisha tena lazima muondoke
 
Bado hajasema ana njaa hajala toka jana, na pisi umeielewa imekamilika kila idara aah mbona utafata tu kadi home hata na boda boda
 
Bado hajasema ana njaa hajala toka jana, na pisi umeielewa imekamilika kila idara aah mbona utafata tu kadi home hata na boda boda
😅😅😅 Kula akapike kwake ale.. Hatutakiwa wanawake wavivu, wanawake chuma ulete
 
Baba yangu ndo mkali namjua tangu nikiwa mdogo japo sikuhizi amekuwa mpole sana sijui ñi uzee ama analazimika kutokana na kupata wajukuu

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
"Kwangu furaha nikiwa na MUNGU sio mlungula

Na pia siku zote mla raha na chungu hula

Najua nilipotokaa, Najua wapi nilipo isipokuwa ni we pekee unajua lini nitafika mwisho"

huu wimbo ni gospel flani inspirational ni kama fid alikuwa anaongea na Sir. God ile deep. Naukubali sana pia, ngoja niudaunilodi ✊
🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom