Kati ya Jay Moe na Fid Q nani mkali?

Kati ya Jay Moe na Fid Q nani mkali?

MSANII BORA WA HIPPOPE WA MUDA WOTE.

1. ALBERT MANGWEA.
2. JAY MOE.

JAY MO more technique Mo power.
Jamaa anajua sana ila ni Moja kati ya wasanii wakali sana Asiye na Jina Wala Mbwembwe.

JAY yupo juu sana Kwa Fid q.

TUMPE HESHIMA YAKE
 
jing'ate hadi pua kama unaweza vyote

Tanzania ni Demu wa mtungo wanamuita cha wote.

Huu moyo huficha mambo mengi ambayo kwa macho huyaoni.

Ukiacha hisia zikuendeshe kwa ujeuri utaishia kufeli

Usilale fofo ruzuku itakwisha

kama unaitaka shibe hakikisha haukombi mboga

Mapenzi ya wadau wa mjini hugeuka samaki na maji

Najiheshimu ili niheshimike

urafiki sio urafiki usipochanganywa na kazi

Kizuri ni kizuri lakini chenye ubora ni bora

Uhuru wa miguu na mikono,akili imefungwa mnyororo

Unamuita wife au mama mamito,unapata habari za wanafki kuna walafi wanamla hadi jicho.

Washkaji wengi ni wanafki kama kamasi ndani ya pua.

Usimuone simba amelo ukazani ni paka

Usiukaze msuri kama upaja wako mdogo.

nalindwa na dua za mama tangu baba simjui

Kama kukupenda ni dhambi basi shetani yu nami

Haya manyunyu ya mvua kwa siafu ni mafuriko.

Money makes a Man lakini love ni hustle

PENYE HAPPY JITUSU,UNAFKI USIURUHUSU,YAJUE YA KUZINGATIA ILI UACHANE NA YASIOKUHUSU.

Fareed Kubanda ni zaidi ya Mcz wote ukiwatoa (1) Sugu
(2)Afande Sele
(3)Professor Jay
 
Halafu wote hao ukiondoa music waliokuwa wanafanya zamani ila kwa sasa kuna huyu dogo wanamuita Young Killa anawafunika wote
 
Jaymo

Maisha boarding
Bishoo
Kama unataka demu
Mvua na Jua

Pamoja na kumpa heshima yake Fid Q ila huyu mwamba anaradha yake tamu sana
Msikilize humo goma jipya liketoka .... Goma la Free - Lord Eyes Ft Jay Moe & Nikki Mbishi... Jay Moe ni noma sana .... Hachoshi jamaa taknikali yamelala
 
Attachments

  • lord_Eyez_Ft_Jay_Moe_&_Nikki_Mbishi_-_Free_REMIX_(Official_Audio)(720p).mp4
    6.9 MB
Jay mo mzee usimfananishe na fid, japo wapo daraja moja but MO aka Ex mayhem ni habari nyingine..mbakiaji
 
kwa maoni yangu

miaka hiyo, Jay Mo alikua hatari
Yeah!

Kwa watu ambao waliyoanza kufuatilia mziki kitambo watakuelewa kwa sababu mwanzo na hatua za mabadiliko wamezishuhudia. Ila kwa ambao hawakufuatilia au wamefuatilia kuanzia mziki miaka ya kati hapa hawatokuelewa.
 
Wakuu kwema? Poleni na majukumu, Njooni tujadili hapa kidogo.

At their peaks, Kati ya JAY MOE Na FID Q. Nani ni hatari zaidi?

Karibuni...

#forgive me
Jay moe moto wa kuotea mbali sanaa, fid q anafanya kwa kiasi chake

Jay moe afananishwe na Solo thang.

Jay moe- mocumentary.
 
Huyu naona hakuwaga na njaa kali, kama alikuwa wakishua flani.. kuna nyakati alikuwa yupo kwa marekani (usa) huenda alipoteleaga huko
Bodea ni chotara mama yake ni mzungu na baba yake ni wa Pemba kama sijakosea. Alikuwa wakishua flani hivi!

Kama unakumbuka alishiriki dizaini kama big brother hivi ya UK na humu alikuwa na mahusiano na binti fulani hivi wakizungu...

Say
B
O
D
E
A

Na gitaa lake akianza kulipiga!!! Bia umekataa sasa hii ni balaaa!
 
Wakuu kwema? Poleni na majukumu, Njooni tujadili hapa kidogo.

At their peaks, Kati ya JAY MOE Na FID Q. Nani ni hatari zaidi?

Karibuni...

#forgive me

Japo wote ni wana hip hop lakini wana kariba tofauti sana

Jay Mo ni fundi wa storytelling
Ni aina ya wana hip hop wanao penda kustick kwenye hoja moja katika wimbo na kutengeneza hadithi ya kuvutia
Mashairi yake yapo so direct huitaji tafukuri ya kina kumuelewa Jay More na ana punchline za kawaida sana

Fid Q ni muandishi mzuri sana (lyrics and poetry) anaimba vitu vingi sana kwenye nyimbo moja (inaonekana anasoma sana vitabu na kutafuta line kali)
Ana flow nzuri na zinabadilika badilika
 
Back
Top Bottom