Kati ya Jay Moe na Fid Q nani mkali?

Kati ya Jay Moe na Fid Q nani mkali?

Wanaosema fid ni mkali kuliko mo wote nendeni mkasikilize izo ngoma tatu mvua na jua org, maisha bording na story tatu alafu mrdui apa tubishane
 
Kiufupi Jay moe ameniispire sana, kuanzia Majukumu(Kupambana), Bishoo(Kujipenda kuwa msafi), kama unataka demu( kutafuta ma kuwa na mademu wakali), bila kusahau nyimbo za kupari/club huyu jamaa hana mshindani ukiwatoa Ferooz na Ngwea...

Hivi ile verse ya Mo kwenye Jirushe rmx mle mnaichukulia kawaida eeh [emoji1]
 
Ndio maana yeka mwanawane.. Ebu siki vitu hapaaa... Aseeee leo nimepata mood ya weekend acha nisake kiwanje kizuri nimpe DJ list yangu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

View attachment 2426943

MALCOM LUMUMBA
Poor Brain
Simu yangu ni soo,kushika mtu sikubali
Hata nikiwa na demu wangu simu naiweka mbali.
Sichelewi kuizima na kuiwasha nikiachana nae,najua ikiwa hewani tutagombana nae.
Simu yangu imekuwa daftari la kuifadhia mistari,
Sinunui simu dukani simu zangu zote mazabe,zenye ndogo thamani ili machizi wasiibe,
Wameiba 3210 sasa nipo na bluebird,wamenitoa Finland sasa nipo Japan.
Buzz 272519 sms natuma ikiwa pesa imekwisha,
Simu ikileta ujinga nauza nanunua nyingine,
Toka mwaka 2000 mpaka leo zaidi nane,
Japo sometimes inanipa wendawazimu dola tano tano zinavyokwisha mi sina hamu,
Sister duu akipiga naongea kibrazaman,ila Mr mchopanga naongea kwa heshima fulani.


Mo ni konyo wewe.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Fid Q Baba lao💯🙌🙌

Moja ya nyimbo zangu pendwa kutoka Kwa msanii wa Rap' Fid Q ft Paul clement - Tajiri yangu"
Kwenye second verse kuna sehemu anasema "Hauwezi nunua Uhai Sasa Unajidai Kwa Lipi"?
Ni kwa wimbo huu au verse hii tu ndio inamfanya Fid Q kuwa baba lao!?
 
Tufanye kulist hit songs za kila mmoja

Naanza fid Q
1. Am professional
2. Mwanza mwanza
3. August 13
4. Ielewe mitaa
5. Propaganda
6. Ulimi mbili
7. bongo hiphop
8. Utaua game
9. Danger
10. Shimo limetema
11. Usinikubali haraka
13. Maselabration
14. Tajiri yangu
15. Temanoleji
16. Bendera ya chuma
17. Sumu
18. Ole chizza
19. Neno
20. Mwanamarundi
21. Ripoti za mtaa
22. Ngosha the swager don


Mje na list kama hiyo[emoji115] kuthibitisha ubora wa hao mnaowaweka mizani na FID Q sio kelele tu

Mtu aje na list ya jay Mo mchopanga tafadhari[emoji120]
Hiyo 22 "Ngosha The Swagga Don" ni moto aisee. Alikuja kitofauti sana. Marco Chali alifanya mauaji kwenye beat
 
Jay Mo, anaweza akaimba hip-hop ngumu, laini yumo, fid yeye ni ngumu tu
 
Jaymo

Maisha boarding
Bishoo
Kama unataka demu
Mvua na Jua

Pamoja na kumpa heshima yake Fid Q ila huyu mwamba anaradha yake tamu sana
Namkubali sana Fid, ila baada ya kujua kumbe na yeye ni mwana Fisiemu kuanzia siku ile sitaki kusikia nyimbo yake yoyote. Ila maisha ya boarding siyo mchezo ile kitu
 
Fid Q.

Sihitaji marafiki, ngoma yangu pendwaa.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom