jing'ate hadi pua kama unaweza vyote
Tanzania ni Demu wa mtungo wanamuita cha wote.
Huu moyo huficha mambo mengi ambayo kwa macho huyaoni.
Ukiacha hisia zikuendeshe kwa ujeuri utaishia kufeli
Usilale fofo ruzuku itakwisha
kama unaitaka shibe hakikisha haukombi mboga
Mapenzi ya wadau wa mjini hugeuka samaki na maji
Najiheshimu ili niheshimike
urafiki sio urafiki usipochanganywa na kazi
Kizuri ni kizuri lakini chenye ubora ni bora
Uhuru wa miguu na mikono,akili imefungwa mnyororo
Unamuita wife au mama mamito,unapata habari za wanafki kuna walafi wanamla hadi jicho.
Washkaji wengi ni wanafki kama kamasi ndani ya pua.
Usimuone simba amelo ukazani ni paka
Usiukaze msuri kama upaja wako mdogo.
nalindwa na dua za mama tangu baba simjui
Kama kukupenda ni dhambi basi shetani yu nami
Haya manyunyu ya mvua kwa siafu ni mafuriko.
Money makes a Man lakini love ni hustle
PENYE HAPPY JITUSU,UNAFKI USIURUHUSU,YAJUE YA KUZINGATIA ILI UACHANE NA YASIOKUHUSU.
Fareed Kubanda ni zaidi ya Mcz wote ukiwatoa (1) Sugu
(2)Afande Sele
(3)Professor Jay