Kati ya Jay Moe na Fid Q nani mkali?

Kati ya Jay Moe na Fid Q nani mkali?

Nimegundua wanaosema fid Q mkali ni kizazi cha 2010 kwa sisi wa miaka ya 1986 tunasema jay mo ni best tena anakimbiza vizazi vyote vya Zamani hadi sasa kama unabisha kasikilize nisaidie kushare ndo utajua maana mkongwe alafu kachana kisasa
 
Mkuu nahitaji list inayofanya jay to the moe awe mkali
[emoji120]
 
Tufanye kulist hit song za kila mmoja

Naanza fid Q
1. Am professional
2. Mwanza mwanza
3. August 13
4. Ielewe mitaa
5. Propaganda
6. Ulimi mbili
7. bongo hiphop
8. Utaua game
9.
10.
11.
13.

Mtu aje na list ya jay Mo mchopanga tafadhari[emoji120]
Maisha ya boarding
Mvua na jua
Kimya kimya
Pesa madafu
Famous
Kama unataka demu
Cheza Kwa step
Hili game
Nisaidie kushare
Wewe Bishoo
Ulimwengu ndio mama
 
Nimegundua wanaosema fid Q mkali ni kizazi cha 2010 kwa sisi wa miaka ya 1986 tunasema jay mo ni best tena anakimbiza vizazi vyote vya Zamani hadi sasa kama unabisha kasikilize nisaidie kushare ndo utajua maana mkongwe alafu kachana kisasa
Hakimbizi vizazi vyote acha kudanganya watu.
 
List Ya Jay Moe.

1:Mpenzi kwa heri ft Tid
2:Mvua na jua
3:Maisha ya boarding.
4:Mshamba
5:Cheza kwa steps
6:Kimya kimya vs Ngwea
7:Stori tatu.
8😛esa ya Madafu
9:Famous ft p funk.
10:Kama unataka demu ft solo thang&sir nature.
 
Tufanye kulist hit songs za kila mmoja

Naanza fid Q
1. Am professional
2. Mwanza mwanza
3. August 13
4. Ielewe mitaa
5. Propaganda
6. Ulimi mbili
7. bongo hiphop
8. Utaua game
9. Danger
10. Shimo limetema
11. Usinikubali haraka
13. Maselabration
14. Tajiri yangu
15. Temanoleji
16. Bendera ya chuma
17. Sumu
18. Ole chizza

Mtu aje na list ya jay Mo mchopanga tafadhari[emoji120]

Ongeza Mwanamalundi na Usinikubali haraka
 
List Ya Jay Moe.

1:Mpenzi kwa heri ft Tid
2:Mvua na jua
3:Maisha ya boarding.
4:Mshamba
5:Cheza kwa steps
6:Kimya kimya vs Ngwea
7:Stori tatu.
8😛esa ya Madafu
9:Famous ft p funk.
10:Kama unataka demu ft solo thang&sir nature.
Umeiona list ya fid Q hapo juu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom