Kati ya Jay Moe na Fid Q nani mkali?

Ni hatari huyo Mo mashoto .Ule wimbo wake wake wa stori 3 usikilize .Kutunga hadithi 3 ndani ya nyimbo moja sio masihara na zote zinaeleweka .Huyo machunusi wako hata awekwe library ya mkoa miaka 10 hawezi kutunga wimbo ka huo labda kidogo Ngwair.
Ohooo machunusi tena[emoji2][emoji2]
 
Reactions: EEX
Moja ya nyimbo zangu pendwa kutoka Kwa msanii wa Rap' Fid Q ft Paul clement - Tajiri yangu"
Kwenye second verse kuna sehemu anasema "Hauwezi Kununua Uhai Sasa Unajidai Kwa Lipi"?

Fid Q Baba lao๐Ÿ’ฏ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

"Kwangu furaha nikiwa na MUNGU sio mlungula

Na pia siku zote mla raha na chungu hula

Najua nilipotokaa, Najua wapi nilipo isipokuwa ni we pekee unajua lini nitafika mwisho"

huu wimbo ni gospel flani inspirational ni kama fid alikuwa anaongea na Sir. God ile deep. Naukubali sana pia, ngoja niudaunilodi โœŠ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ