Kati ya Kelvin de Bruyne na Bruno Fernandez nani bora kwenye soka?

Chama cha Walimu wanakutegemea
 
Kumbe na ball unalijua. KDB is the best
 
Hujui gem endelea kupiga chaki
Bruno ni takataka huwezi mfananisha na fundi KDB utakua umemkosea heshima na umelikosea soka heshima kwa ujumla

KDB akiwa wolfburg kabla kuja City alikua balaa

Halafu ni mchezaji wa mechi kubwa yani amezitandika chelsea, Arsenal, Liverpool, Man united , Madrid , Barca

Halafu ana consistency hajawahi kushuka kiwango tangu miaka na miaka

Ndo umfananishe na hilo takataka la united ambalo halina hata workrate ya ilkay Gundogan
 
De bruyne Yuko mbali maili 1000 Kwa Bruno Fernandez...de bruyne ni mtu haswaa,na UNAFANYA makosa sana kumfananisha na Bruno Fernandez.....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Japo umeanza kufatilia kamdanda juzi ndugu mleta mada..Lakini tunakujuza KDB ametokea Chelsea pale alikua anakaa benchi na aliitwa 'flop' kwa sababu alikua ni 'unga' sana..Baada ya kununuliwa kwa dau dogo kabisa na upara..kocha la boli upara akamnoa mpaka sasa anaonekana ni hatari lakini kaingia tu kwenye mifumo ya upara thus why hakuna team inayomshobokea hata waarabu hawamtaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…