FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Hana anachomzidi KDBIla Bruno Moto wa petrol mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana anachomzidi KDBIla Bruno Moto wa petrol mkuu
Chama cha Walimu wanakutegemeaOya mazee hapa mm kiukweli huwa nachanganyikiwa kuona Nani bora ya mwenzake, wengi mnaleta ligi za Messsi na Ronaldo, sijui Haaland na Mbappe ila mimi ligi kuu ni Kati ya Kelvin na Bruno, mmoja anacheza Man City mwingine Man United
Ebu Naomba mnisaidie who is the best player haijalishi wanacheza nafasi ipi
KDB katoka to Wolfsburg matopeki akiongoza assist dunia nzimaJe KDB angeperform kama angecheza Man U? ( hizo zilizopita)
Je Bruno angepeform angecheza Man City?
Ukishapata majibu ya hayo maswali utajua mwenyewe nani ni Bora au wako sawa.
Ivi kabla ya kuja city KDB alikuwa Wolfsburg unajua alichokifanya uko?KDB anacheza team iliyo stable misimu yote halaf unataka kumlinganisha na MAGNIFICIO Bruno ambae ana fundishwa hadi na RANGNICK na ana perform
Kumbe na ball unalijua. KDB is the bestOya mazee hapa mm kiukweli huwa nachanganyikiwa kuona Nani bora ya mwenzake, wengi mnaleta ligi za Messsi na Ronaldo, sijui Haaland na Mbappe ila mimi ligi kuu ni Kati ya Kelvin na Bruno, mmoja anacheza Man City mwingine Man United
Ebu Naomba mnisaidie who is the best player haijalishi wanacheza nafasi ipi
Mkuu nisaidie [emoji23][emoji23][emoji23]Je KDB angeperform kama angecheza Man U? ( hizo zilizopita)
Je Bruno angepeform angecheza Man City?
Ukishapata majibu ya hayo maswali utajua mwenyewe nani ni Bora au wako sawa.
Hujui gem endelea kupiga chakiYani unamlinganisha KDB na matakataka?
Ivi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chama cha Walimu wanakutegemea
Hapana mm nitasimama na Bruno FernandezKumbe na ball unalijua. KDB is the best
Bruno ni takataka huwezi mfananisha na fundi KDB utakua umemkosea heshima na umelikosea soka heshima kwa ujumlaHujui gem endelea kupiga chaki
De bruyne Yuko mbali maili 1000 Kwa Bruno Fernandez...de bruyne ni mtu haswaa,na UNAFANYA makosa sana kumfananisha na Bruno Fernandez.....Oya mazee hapa mm kiukweli huwa nachanganyikiwa kuona Nani bora ya mwenzake, wengi mnaleta ligi za Messsi na Ronaldo, sijui Haaland na Mbappe ila mimi ligi kuu ni Kati ya Kelvin na Bruno, mmoja anacheza Man City mwingine Man United
Ebu Naomba mnisaidie who is the best player haijalishi wanacheza nafasi ipi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Bruno ni takataka huwezi mfananisha na fundi KDB utakua umemkosea heshima na umelikosea soka heshima kwa ujumla
KDB akiwa wolfburg kabla kuja City alikua balaa
Halafu ni mchezaji wa mechi kubwa yani amezitandika chelsea, Arsenal, Liverpool, Man united , Madrid , Barca
Halafu ana consistency hajawahi kushuka kiwango tangu miaka na miaka
Ndo umfananishe na hilo takataka la united ambalo halina hata workrate ya ilkay Gundogan
Upo kishabiki badala ya kuongea ukweliDe bruyne Yuko mbali maili 1000 Kwa Bruno Fernandez...de bruyne ni mtu haswaa,na UNAFANYA makosa sana kumfananisha na Bruno Fernandez.....
Huyu jamaa alitakiwa kuwambwa mbata za mgongo akili zimkae sawaDe bruyne Yuko mbali maili 1000 Kwa Bruno Fernandez...de bruyne ni mtu haswaa,na UNAFANYA makosa sana kumfananisha na Bruno Fernandez.....
Bruno katoka Ureno akikimbiza kwa Namba pia......KDB katoka to Wolfsburg matopeki akiongoza assist dunia nzima
Hawajui Soka [emoji23][emoji23][emoji23]Bruno katoka Ureno akikimbiza kwa Namba pia......
Sijui unataka kuongea nini hapa.
Unajudge players Simply by stats?