Kati ya Kelvin de Bruyne na Bruno Fernandez nani bora kwenye soka?

Oya mazee hapa mm kiukweli huwa nachanganyikiwa kuona Nani bora ya mwenzake, wengi mnaleta ligi za Messsi na Ronaldo, sijui Haaland na Mbappe ila mimi ligi kuu ni Kati ya Kelvin na Bruno, mmoja anacheza Man City mwingine Man United

Ebu Naomba mnisaidie who is the best player haijalishi wanacheza nafasi ipi
Chama cha Walimu wanakutegemea
 
Kumbe na ball unalijua. KDB is the best
 
Hujui gem endelea kupiga chaki
Bruno ni takataka huwezi mfananisha na fundi KDB utakua umemkosea heshima na umelikosea soka heshima kwa ujumla

KDB akiwa wolfburg kabla kuja City alikua balaa

Halafu ni mchezaji wa mechi kubwa yani amezitandika chelsea, Arsenal, Liverpool, Man united , Madrid , Barca

Halafu ana consistency hajawahi kushuka kiwango tangu miaka na miaka

Ndo umfananishe na hilo takataka la united ambalo halina hata workrate ya ilkay Gundogan
 
Oya mazee hapa mm kiukweli huwa nachanganyikiwa kuona Nani bora ya mwenzake, wengi mnaleta ligi za Messsi na Ronaldo, sijui Haaland na Mbappe ila mimi ligi kuu ni Kati ya Kelvin na Bruno, mmoja anacheza Man City mwingine Man United

Ebu Naomba mnisaidie who is the best player haijalishi wanacheza nafasi ipi
De bruyne Yuko mbali maili 1000 Kwa Bruno Fernandez...de bruyne ni mtu haswaa,na UNAFANYA makosa sana kumfananisha na Bruno Fernandez.....
 
Bruno ni takataka huwezi mfananisha na fundi KDB utakua umemkosea heshima na umelikosea soka heshima kwa ujumla

KDB akiwa wolfburg kabla kuja City alikua balaa

Halafu ni mchezaji wa mechi kubwa yani amezitandika chelsea, Arsenal, Liverpool, Man united , Madrid , Barca

Halafu ana consistency hajawahi kushuka kiwango tangu miaka na miaka

Ndo umfananishe na hilo takataka la united ambalo halina hata workrate ya ilkay Gundogan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Japo umeanza kufatilia kamdanda juzi ndugu mleta mada..Lakini tunakujuza KDB ametokea Chelsea pale alikua anakaa benchi na aliitwa 'flop' kwa sababu alikua ni 'unga' sana..Baada ya kununuliwa kwa dau dogo kabisa na upara..kocha la boli upara akamnoa mpaka sasa anaonekana ni hatari lakini kaingia tu kwenye mifumo ya upara thus why hakuna team inayomshobokea hata waarabu hawamtaki
 
Back
Top Bottom