Kati ya Kenya na Tanzania ni nchi ipi yenye wasichana warembo zaidi?

Kati ya Kenya na Tanzania ni nchi ipi yenye wasichana warembo zaidi?

CARIFONIA

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2013
Posts
616
Reaction score
1,453
Kuna battle nimeiona sehemu fulani kati ya Wakenya na Watanzania kila upande ukijinadi kua na warembo wazuri kumshinda mwenzake, binafsi mimi mara yangu ya kwanza kufika Kenya nilipata shida sana kutofautisha kati ya mwanaume na mwanamke kwani wanawake wengi wa Kenya hawana tofauti na wanaume kabisa. Ndio mahana nimehona nihilete hapa hii battle wajuzi mtiririke.
 
Yani hatuwezi kufananisha theluji na matope,wasichana wa Tanzania wako bomba sana,yani akili zinaweza kukuruka.
Kama tunataka kushindana hili game inabidi tuweke picha tano tano za mastaa tu wa kike wa nchi hizi mbili,tena mbili hizo ziwe zinaonyesha mwili mzima na uso peke yake.
 
ngoja waje wakina Rupita nyongo watufafanulie kidogo
 
CARIFONIA,
Duh...ni sawa na kusema au kuuliza Tanzania na Kenya ni nchi gani kubwa kijiografia
 
Muke za kenya si ndo hudunda mume zao!!
Halafu si ndo wale husema nikikupea utawezana Kauli kama hiyo unafikiri nini..?
[emoji38][emoji38][emoji38] We jamaa bana, umefanya nikacheka kwa nguvu. Sasa hizo si ndio challenge ambazo huwa tunazipenda sana? [emoji1] Kando na urembo wa mademu wa Kenya, confidence sasa ndio huwa inafanya wapendeze zaidi, upstairs akilini pia huwa wapo A1! Alafu unaambiwa usije... kama ni ndogo, ...Okwonkwo na kitambi utawezana?... Enjoy. [emoji1]
 
Back
Top Bottom