Kati ya Kenya na Tanzania ni nchi ipi yenye wasichana warembo zaidi?

Tuanze na mkeo nyumbani kwanza, tupia picha yake
Sasa Nairobi itaweza shindana na Arusha na wewe hebu acha vituko ! Mademu wa Nairobi utazani moingo mwanamke anakamba za mikono shingo ngozi imewamba balaa
 
Acha kuongelea wake za watu, prove to me km mkeo nyumbani ni mzuri
 
Kenya hamna kitu labda demu wangu mmoja aloitwa Jackie
 
Siyo Wa asili ya Kenya ni wasomali au chotara wakenya asilia wanatisha yaheee wawesa sema umekutananga na musimu kutoka gatui
Somalians hawawezi elewa kiswahili cha wa bongo.
 
unajua kenya kuna idadi ndogo ya wasichana wazuri, alafu msichana mzuri wa kikenya awapendi kuolewa na wanaume wa kenya eti kisa hawana swag ndio mahana wanashoboka na wanaume wa Tz
Ratio ya wasichina Kenya ndiyo kubwa na ya msichana akikosa mtu wakumuoa ndipo unasikia akisema ati hawawezi olewa na mwanaume mwenye hana swag na pesa.

Kwa wanaume, wakati wa swag na kutafuta wanawake umeshapitwa na wakati..sasa ni mtu ajue vile atatengeneza pesa ju ya maisha ya kesho.
 
Sio kweli si tunawaona wasichana wakikenya wanavyoshoboka na mabrothermen wa kibongo
 
Kenya wapambanishe na Sudani Kusini
Kuna battle nimeiona sehemu fulani kati ya Wakenya na Watanzania kila upande ukijinadi kua na warembo wazuri kumshinda mwenzake, binafsi mimi mara yangu ya kwanza kufika Kenya nilipata shida sana kutofautisha kati ya mwanaume na mwanamke kwani wanawake wengi wa Kenya hawana tofauti na wanaume kabisa. Ndio mahana nimehona nihilete hapa hii battle wajuzi mtiririke.
 
Ratio ya wasichina Kenya ndiyo kubwa na ya msichana akikosa mtu wakumuoa ndipo unasikia akisema ati hawawezi olewa na mwanaume mwenye hana swag na pesa.

Kwa wanaume, wakati wa swag na kutafuta wanawake umeshapitwa na wakati..sasa ni mtu ajue vile atatengeneza pesa ju ya maisha ya kesho.
Wewe hutaki procreation? Pesa ukifa huendinazo kaburini lakini genes zako zitaendelea miaka na miaka kama umezaa. Na ili genes zako zipate chance kubwa ya kuendelea inabidi uzae na demu bomba.
 
Back
Top Bottom