CARIFONIA
JF-Expert Member
- Aug 17, 2013
- 616
- 1,453
- Thread starter
- #21
unajua kenya kuna idadi ndogo ya wasichana wazuri, alafu msichana mzuri wa kikenya awapendi kuolewa na wanaume wa kenya eti kisa hawana swag ndio mahana wanashoboka na wanaume wa TzKama iko hivo, ni kwanini number kubwa ya wasanii wa Tanzania wanawapenda warembo wa Kenya?