ngoja waje wakina Rupita nyongo watufafanulie kidogoYani hatuwezi kufananisha theluji na matope,wasichana wa Tanzania wako bomba sana,yani akili zinaweza kukuruka.
Kama tunataka kushindana hili game inabidi tuweke picha tano tano za mastaa tu wa kike wa nchi hizi mbili,tena mbili hizo ziwe zinaonyesha mwili mzima na uso peke yake.
Vizuri kusifia cha nyumbani.
British Tanzanian Actor kwa Game of Thrones and Gangs of London.... that's being Kenyan, diversity in knowledge sio Ufipa tu.Nope
Sio kwa sababu ni wa nyumbani, hata wangekuwa wakenya wazuri zaidi ningesemaVizuri kusifia cha nyumbani
[emoji38][emoji38][emoji38] We jamaa bana, umefanya nikacheka kwa nguvu. Sasa hizo si ndio challenge ambazo huwa tunazipenda sana? [emoji1] Kando na urembo wa mademu wa Kenya, confidence sasa ndio huwa inafanya wapendeze zaidi, upstairs akilini pia huwa wapo A1! Alafu unaambiwa usije... kama ni ndogo, ...Okwonkwo na kitambi utawezana?... Enjoy. [emoji1]Muke za kenya si ndo hudunda mume zao!!
Halafu si ndo wale husema nikikupea utawezana Kauli kama hiyo unafikiri nini..?