Kati ya Kenya na Tanzania ni nchi ipi yenye wasichana warembo zaidi?

Nimekua kenya, madem wazuri wapo ila wa kuwatafuta.
Arusha kwenye kila mademu 10 madem saba ni wakali.
Hahaaa!!arusha ile ile ninayoijua ndio iwe na madem wakali 7 kati ya 10.
Boko kali sana hili[emoji1787][emoji1787]
 
CARIFONIA,

Kuna battle nimeiona sehemu fulani kati ya wakenya na Tuanze na mkeo nyumbani kwanza, tupia picha yake.
 
Muke za kenya si ndo hudunda mume zao!! Halafu si ndo wale husema nikikupea utawezana[emoji23]
Kauli kama hiyo unafikiri nini..?
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo unataka tukamuulize okonko sio?
 
Arusha kuna totoz wewe.. Sikuhiz wamemix wakapata product moja matata sana asikwambie MTU[emoji475][emoji475]
Hahaaa!!arusha ile ile ninayoijua ndio iwe na madem wakali 7 kati ya 10..
Boko kali sana hili[emoji1787][emoji1787]
 
Mdem wa kenya ukikuta mzur ni mzuri haswa na ukikuta mbaya mbaya haswa ila Tanzania wanawake ni wazuri zaid
 
Mtoa mada anza na picha ya dada yako kwanza ndo tulinganishe vizuri
 

Wapo tu. Ila usidanganywe eti kuna mwanamke sura mbaya. Mpe hela utaona aking'aa.
 
Kama iko hivo, ni kwanini number kubwa ya wasanii wa Tanzania wanawapenda warembo wa Kenya?
Siyo Wa asili ya Kenya ni wasomali au chotara wakenya asilia wanatisha yaheee wawesa sema umekutananga na musimu kutoka gatui
 
Hahaaa!!arusha ile ile ninayoijua ndio iwe na madem wakali 7 kati ya 10..
Boko kali sana hili[emoji1787][emoji1787]
We tumbili ongea kiswahili ya Kenya tu chekange kidogo nawesa patiang'a wewe chapaa ya kubuy chapo ukule na chai
 
CARIFONIA,

Usifananishe wadada wa kibongo na vitu vya kinyi siku nyengine usirudie, umeshindwa hata kulinganisha japo kwa super star tu hata wa2 au wa3 wa kibongo na Kenya kabla ya kuleta huu uzi ?. Tukianza bongo wawili tu : Dc Joketi, Lulu
 
Kama iko hivo, ni kwanini number kubwa ya wasanii wa Tanzania wanawapenda warembo wa Kenya?
Mademu hao Wachache wazur wa huko ndoto zao kuolewa na super star wa bongo Kama ulivyo wacheza mpira wenu wanavyowaza kuchezea ligi ya bongo sio mbongo kuwaza kuchezea Kenya Kwenye pesa mbuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…