Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Sasa Nairobi itaweza shindana na Arusha na wewe hebu acha vituko ! Mademu wa Nairobi utazani moingo mwanamke anakamba za mikono shingo ngozi imewamba balaaTuanze na mkeo nyumbani kwanza, tupia picha yake
Kasoro si maumbile au rangi ya mwilini ,unaekosoa maumbile ya wenzako kwanza jitizame wiye na watu wa kwenu.Warembo wa kenya
View attachment 1477892
Acha kuongelea wake za watu, prove to me km mkeo nyumbani ni mzuriSasa Nairobi itaweza shindana na Arusha na wewe hebu acha vituko ! Mademu wa Nairobi utazani moingo mwanamke anakamba za mikono shingo ngozi imewamba balaa
Mkeo nyumbani vipi?mpost tumuoneWe tumbili ongea kiswahili ya Kenya tu chekange kidogo nawesa patiang'a wewe chapaa ya kubuy chapo ukule na chai
Madem wa Arusha ni visu mzee,uwezi fananisha na madem wa Nairobi,nakushangaa sijui unaongelea Arusha gani?hujishangai ni wewe tu ndie unayepinga?Acha kuongelea wake za watu, prove to me km mkeo nyumbani ni mzuri
View attachment 1478027View attachment 1478028View attachment 1478029
Wapo tu. Ila usidanganywe eti kuna mwanamke sura mbaya. Mpe hela utaona aking'aa. View attachment 1478027View attachment 1478028View attachment 1478029View attachment 1478030View attachment 1478031View attachment 1478032View attachment 1478033
Kasoro umeweka kinyago usoni lakini Nina hakika mkewangu humfikii toto la kitangaAcha kuongelea wake za watu, prove to me km mkeo nyumbani ni mzuri
Somalians hawawezi elewa kiswahili cha wa bongo.Siyo Wa asili ya Kenya ni wasomali au chotara wakenya asilia wanatisha yaheee wawesa sema umekutananga na musimu kutoka gatui
Ratio ya wasichina Kenya ndiyo kubwa na ya msichana akikosa mtu wakumuoa ndipo unasikia akisema ati hawawezi olewa na mwanaume mwenye hana swag na pesa.unajua kenya kuna idadi ndogo ya wasichana wazuri, alafu msichana mzuri wa kikenya awapendi kuolewa na wanaume wa kenya eti kisa hawana swag ndio mahana wanashoboka na wanaume wa Tz
Sio kweli si tunawaona wasichana wakikenya wanavyoshoboka na mabrothermen wa kibongoRatio ya wasichina Kenya ndiyo kubwa na ya msichana akikosa mtu wakumuoa ndipo unasikia akisema ati hawawezi olewa na mwanaume mwenye hana swag na pesa.
Kwa wanaume, wakati wa swag na kutafuta wanawake umeshapitwa na wakati..sasa ni mtu ajue vile atatengeneza pesa ju ya maisha ya kesho.
LOL maprofesaWanawake wengi wa kenya wana vipara
Kuna battle nimeiona sehemu fulani kati ya Wakenya na Watanzania kila upande ukijinadi kua na warembo wazuri kumshinda mwenzake, binafsi mimi mara yangu ya kwanza kufika Kenya nilipata shida sana kutofautisha kati ya mwanaume na mwanamke kwani wanawake wengi wa Kenya hawana tofauti na wanaume kabisa. Ndio mahana nimehona nihilete hapa hii battle wajuzi mtiririke.
Wewe hutaki procreation? Pesa ukifa huendinazo kaburini lakini genes zako zitaendelea miaka na miaka kama umezaa. Na ili genes zako zipate chance kubwa ya kuendelea inabidi uzae na demu bomba.Ratio ya wasichina Kenya ndiyo kubwa na ya msichana akikosa mtu wakumuoa ndipo unasikia akisema ati hawawezi olewa na mwanaume mwenye hana swag na pesa.
Kwa wanaume, wakati wa swag na kutafuta wanawake umeshapitwa na wakati..sasa ni mtu ajue vile atatengeneza pesa ju ya maisha ya kesho.
Duuu demu wangu hadi nachukiwa kwa kuonewa wivi acha kabisaMkeo nyumbani vipi?mpost tumuone