Kati ya Kenya na Tanzania ni nchi ipi yenye wasichana warembo zaidi?

Kwa ufupi Tanzania inaongoza Afrika nzima.

Tusizungumzie Kenya maana haipo kwenye hii battle, ukiangalia Rwanda ni kweli ina warembo lakini wanafanana, yani utadhani watoto wa baba mmoja, likewise na Ethiopia, lakini hapa bongo daaah kuna varieties za kutosha.
 
Tanzania tunawazidi Kenya kwa mbali sana
 
Tuna safari ndefu
 
Ni kweli Rwanda ukigonga mtusi mmoja ni sawasawa umegonga wote maana wanafanana ni sawa na kula chakula kizuri cha aina moja kila siku kinakinahi hata mademu wa south Africa ni wazuri sura tu ila miguu ni mibaya sana na mifupi hawana uwiano, mkikaa kwenye basi anakupita kimo ila mkisimama unakuwa umempita kimo pia miguu yao imepindapinda + vigimbi
 
Africa mashariki na kati Tanzania ilishindikana kwenye watoto wazuri aisee ni nux sana
 
mbona wazee wa kazi tupo vizurii , tunaenjoy totoz kimya kimya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…