Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Wenzio wakisema "Maafrika ni mashenzi utapendezewa? Ubaguzi tunauleta wenyewe halafu tunawasingizia wao.Morocco na Tunis, walipotoka waaay back wakaingia kwenye mifumo ya Kifaransa sasa hivi wanahaha kuwafunza watoto wao English.
.
Ila kuna baadhi ya maarabu Canada ni mash*nzi hayajui kifaransa wala English, I've been in Los Angeles kuna Hispanic wengi ila wanaongea both languages
~lughatul arabiyya!
[emoji23][emoji23][emoji23] braza unatafuta mengine.
Hizo βtakbiirβ tu mnajikuta waarabu ama sio..!!
Ni lugha ya pepo na kaburi maana subuana hajui lugha nyingine zaidi ya kiarabuKwanini ni muhimu "sana" kujifunza kiarabu?
Naomba faida mbili.
DuhNi lugha ya pepo na kaburi maana subuana hajui lugha nyingine zaidi ya kiarabu
Ni lugha ya pepo na kaburi maana subuana hajui lugha nyingine zaidi ya kiarabu
Basi kumbe siyo "muhimu sana" kama hauna mipango hiyo hapo.
Umuhimu nimeichukulia kwenye angle ya dini sawa mbona wewe unajua kabisa utaulizwa maswali kwa kiarabu na unatakiwa ujibu kiarabu hata kwa kukariri ukiwa kaburini.Hamuwezi kuchangia bila kuingiza udini, acha wazungu waendelee kuwanyoosha hao black lives na kutuita manyani, ndicho mnachopenda.
Ihihihi in mkulu's voice
Kinachojadiliwa kingine na wewe unatuletea habari nyingine.. anzisha na wewe uzi wako wadau wajadili hicho ulichokiuliza, au roho imeuma kusikia kiarabu ukitoa kiingereza ni lugha inayozungumzwa sana duniani?
Kiarabu ndio lugha kubwa duniani inazungumzwa na nchi nyingi pia quraan ni kitabu kimeandikwa kwa kiarabu kinasomwa ulimwengu mzima
Malaika eti, mzungu amekuwa malaika tena! Nyie watu mnakufuru sana. Na watawauwa sana hao mabeberu mpaka akili ziwarudi.Hivi unajua kiarabu ni kilugha mkuu, yaani tuache kuzungumza lugha ya malaika, kiingereza tuanze kuharibu ndimi zetu sisi. Kiingereza tu ndio lugha ya dunia kisha kinafuata kiswahili ndio lugha zinazovutia dunia
Na hapo hapo mzungu anamtambua yeye ni sokwe asie na thamani kwao, acha tu aendelee kuukashifu uislamu, Mungu hadhihakiwi hata kidogo atakipata tu akitakacho
Labda wakatawale kuzim ila sio dunia hii.Ngoja waarabu warudi kutawala dunia kwa mara nyingine sijui hawa wagalatia watakimbilia kwa nani, na wakati huo mabeberu/Magaidi yatakuwa chini ya waarabu hawafurukuti [emoji16][emoji16][emoji16]
Mi mpaka leo huwa najiuliza bila majibu Waspanishi waliwezaje kuteka bara zima la America kusini na kaskazini na kueneza lugha yao isipokuwa BrazilKama lugha ya kwanza ni Spanish....
Kama lugha ya pili ni English!
Sijui hata kama umenielewa.