Kati ya kiarabu, kiingereza na kihispaniola ni lugha ipi ina wazungumzaji wengi duniani?

OMG !! Una msongo nao ?!??
Ila nakuhakikishia Waarabu na lugha yao wanarudi kwa kasi na wataimiliki Dunia na ulumwengu kwa mara ingine...
Soma nyakati na tazama hali ilivyo...
 
Kiarabu ndio lugha kubwa duniani inazungumzwa na nchi nyingi pia quraan ni kitabu kimeandikwa kwa kiarabu kinasomwa ulimwengu mzima
Qura'n online... nchi za Magharibi zinakubali kuungamna na elimu ya Kiarabu kwa imani na kiuchumi...
 
Umetumwa na mbakaji wenu[emoji23][emoji23][emoji23] unajua yule mhuni aliambiwa na Allah (mungu wa majini) anaruhusiwa kugonga demu yeyote miongoni mwa wafuasi wake yaani hata demu wako angemla[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asee we jamaa una chuki sijapata kuona... nenda kaanzishe uzi kwenye jukwaa la dini anzisha hizo mada zako hapa kinachojaliwa lugha...
 
1. Spanish
2. English
3. Arabic
4. Chinese
5. French
6.
7.
8.
9.
10. Swahili.
Hiyo ndio list yangu
 
1.English
2.Arab
3.spanish sidhani kama ilitakiwa kuwepo kwenye hii list.

《Caprichar o teu sorriso》
 
LAANATULLAH ALAYKA
 
Kataa hakuna hilo andiko kwenye kitabu cha muhuni wenu
Muhuni ni yule jamaa aliyemgonga misumali mungu wenu juu ya msalaba.

Punguza chuki mrembo tunajua kuna muislamu alikupiga mimba akakutelekeza.

Njoo kwangu nkuoe mke wa 4 hutajutia dada.
 
Hata Ulaya ,(Uturuki Baba Lao, wahamiaji kule Ufaransa na ujerumani) Inshallah baada ya muda tutakuwa na kizazi chenyewe hamunya kujifunza kiarabu ULAYA
Hivi unajua kiarabu ni kilugha mkuu, yaani tuache kuzungumza lugha ya malaika, kiingereza tuanze kuharibu ndimi zetu sisi. Kiingereza tu ndio lugha ya dunia kisha kinafuata kiswahili ndio lugha zinazovutia dunia
 
Ni kweli kiingereza ni namba moja ila umeshaingiza na Udini kwenye swali dogo tu, huyo Mama anakujaje humu
Huyo mama ni mtag kwa sababu kila kitu yeye hukitazama kwa Jicho la dini kuna yule Mohamed nani sijui wa jukwaa la history kule nae ni extremist na Close minded balaa hata faiza naona hamkuti
 
Kingreza kinaongewa na mabeberu wengi
Kiarabu kinaongewa na magaidi wengi
 
Lakini naona Kama kiarabu kinatumika na nchi nyingi Sana karibia mabara yote duniani
Mf. Sehemu kubwa za Asia na africa
Kiarabu kunatumika baadhi ya nchi Mashariki ya Kati nchi za Africa Kaskazini

Sehemu kubwa ya Asia hawazungumzi kiarabu, Iran, India, Pakistan, China, Afghanistan, Uzbekistan, Mongolia, Bangladesh n.k kote Huko hawazungumzi kiarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…