Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
OMG !! Una msongo nao ?!??Morocco na Tunis, walipotoka waaay back wakaingia kwenye mifumo ya Kifaransa sasa hivi wanahaha kuwafunza watoto wao English.
.
Ila kuna baadhi ya maarabu Canada ni mash*nzi hayajui kifaransa wala English, I've been in Los Angeles kuna Hispanic wengi ila wanaongea both languages
Ila nakuhakikishia Waarabu na lugha yao wanarudi kwa kasi na wataimiliki Dunia na ulumwengu kwa mara ingine...
Soma nyakati na tazama hali ilivyo...