Kati ya kiarabu, kiingereza na kihispaniola ni lugha ipi ina wazungumzaji wengi duniani?

Ukitulia na ukafunguwa moyo wako utapata point and platform...
Sir Chinese wamefanikiwa kutengeneza magari yanayopaa angani, Chinese wamefanikiwa kuunda vifaru na baadhi ya silaha zao wenyewe japo wanatumia technology ya America.
.
Chinese wamefanikiwa kutengeneza mawani yanayotunza taarifa za muhalifu.
Chinese wamefanikiwa kuteka soko la Africa kwa bidhaa zinazotoka kwao though ni tech ya USA.
.
Niambie kuhusu tech ya waarabu nijifunze maana kama ni mafuta the whole plants za mataifa yote yanayozalisha mafuta ni tech ya whites. Nasubiri
 
Yote hayo ni mazungumzo hewani!!
To make story short....
Waarabu wanajenga ubinaadamu ndani ya mtu !!
Ask how?... uje nikupe darsa.
 
Habari zenu wakuu
Kati ya hizi lugha tatu
Kiarabu , kingereza na kihispaniola Ni lugha ipi inatumiwa na watu wengi duniani?
Kingereza, kiarabu kimekaririwa tu na watu wa dini yetu lakini wengi hata maana yake hawajui
 
English of course, Kisha Arab then Spanish, halafu sukuma[emoji23][emoji23]

mkuu get your facts together, Spanish inaongewa na watu wengi kuliko kiarabu so ikitoka kingereza ambayo na yenyewe sio ya kwanza inakuja spanish kutokana na maelezo yako list iko hivi

TOP FIVE
1. Mandalini- Kichina
2.English
3. Hindustani- Kihindi
4. Spanish
5. Arabic.

NB: Nilishawah kula hela ya mtu ivi ivi akidhani kingereza ndio ya kwanza kumbe sio kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unatapatapa tu mpeleke mama yako akaliwe na mtume wenu maana Allah amempa mademu wote wakiislamu. Pia usisahau kumwambia akuingize muingizo mwema kama aliyoingizwa na Allah kule Madina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwambie mama yako aje nimtandike mimba, nawewe uje nikuingize mwingizo mwema kama aliyoingizwa Muhammad na Allah
mods mmelala au
 
Mimi ni muislamu tena wa kweli ila kwa kweli mila nyingi za waarabu zimenishinda tena sana waarabu wa Saudi na Yemeni. Omani ni nyumbani tu....kama vile upo Magomeni. Yemen inategemea sehemu.
 
Why not Syria,Iraq,Iran ambazo Zina raia wajristo also?,umetaja nchi vibaraka wa US,,Sasa nakwambia,niwekee picha ya kanisa Qatar,abudhabi nitakupa buku kumi ya bila masharti
 
Mimi ni muislamu tena wa kweli ila kwa kweli mila nyingi za waarabu zimenishinda tena sana waarabu wa Saudi na Yemeni. Omani ni nyumbani tu....kama vile upo Magomeni. Yemen inategemea sehemu.
Hao jamaa sijui huwa wakoje mbona Egypt hawako hivyo?
 
Why not Syria,Iraq,Iran ambazo Zina raia wajristo also?,umetaja nchi vibaraka wa US,,Sasa nakwambia,niwekee picha ya kanisa Qatar,abudhabi nitakupa buku kumi ya bila masharti
Yani ushia unakupeleka shimoni kinoma hadi husomi vizuri.
.
i can't feel safe in Qatar, Oman or Abu Dhabi angalau Dubai kwa sababu ni more western.
Hiki ndo nilichoandika
 
Yani ushia unakupeleka shimoni kinoma hadi husomi vizuri.
.

Hiki ndo nilichoandika
Nikakuuliza,kwanini ufeel safe,kumbe unasema wako Western,ngoja nikwambie Qatar na Abudhabi hawako Western,Sana Sana Kuna wageni wengi kutoka west,walioenda kutafuta maisha,,wenyeji hawako westernized kuwazidi wananchi wa Syria,Iraq,
Kidogo labda ungesema oman pako safe Sana,
 
Actually namba moja na kiarabu,maana kinaongelewa na zaidi ya watu billion 1.5,
Mandalin inaongelewa na watu chini ya billion 1.3
We naye! We si mara ya kwanza umesema English! Nini kimekubadirisha?!
 
Labda sijaelewa Ni uzungumzaji upi unaoongelewa,nijuavyo hata Hapa bongo kiarabu kinaongelewa na watu karibu milioni 30,😁😁
Mkuu... inatosha hizo "adhana"za misikitini kusikika mara 5 kwa siku...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…