Kati ya kiarabu, kiingereza na kihispaniola ni lugha ipi ina wazungumzaji wengi duniani?

Kati ya kiarabu, kiingereza na kihispaniola ni lugha ipi ina wazungumzaji wengi duniani?

Tafuta mataifa matajiri dunian 10 halafu fuatilia wanaongea lugha gan
Tukitafuta mataifa tajiri 10 hakuna hata moja kwenye top 17 linalozungumza kiarabu!
.
Tukitafuta mataifa yenye matajiri wengi tunaenda hadi 27 hakuna hata moja linalozungumza kiarabu!
Ulikuwa unajaribu kutuambia nini mpendwa katika bwana?
 
English of course,Kisha Arab then Spanish,halafu sukuma[emoji23][emoji23]
Ya kwanza ni kingereza, ya pili ni kichina. ..china kuna watu bilioni 1.4 na bado kuna wachina Taiwan, Malaysia, Indonesia na kadhalika. Ya tatu ni Spanish. .....America kusini na kasakazini asilimia 80% wanaongea Spanish. Kikarabu watu ni wachache tu. ..kabla mikononi 200 au 300
 
English is the best, Hata waarabu wenyewe sasa hivi wanawafundisha watoto wao Kingereza hivo hakuna ubishi popote pale ukienda na ukaongea kingeŕeza utapata assistantance haraka hata kama hao uliowakuta hawazungumzi ngeli ila katika jamii almost zote hukosi watema YAI
Wacha tumgonge Bibi kizee pia alete takwimu zake cc faiza foxy
Ni kweli kiingereza ni namba moja ila umeshaingiza na Udini kwenye swali dogo tu, huyo Mama anakujaje humu
 
Hehehee nje ya mada ukienda kwa idadi ya watu unaweza shangaa kichina kikaongoza.
Kingereza kinazungumzwa na watu wengi kutoka mataifa mbalimbali halafu kispanyola
 
Kati ya hizi lugha tatu
Kiarabu , kingereza na kihispaniola Ni lugha ipi inatumiwa na watu wengi duniani?
Mkuu kati ya Lugha Izo ulizotaja, Lugha iliyo na wazungumzaji wengi ni SPANISH.
Sababu ni kwamba Spanish iko na watu wa nchi nyingi wanazungumza, Mfano shemeu kubwa na Amerika Kusini na Kasakazini, wanazungumza Spanish as Official Language; Colombia, Honduras, Guatemala, Bolivia na nchi nyingine za jirani most ni SPanish.
lakini zipo nchi nyingine hapo Ulaya wanatumia SPANISH.

Nadhan English ni Kwa maana ya Common Business Language; Ipo kidogo kidogo sehemu kwa sehemu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna muhuni 1 alioa binti wa miaka 6 akampiga mashine akiwa na miaka 9. Huyo muhuni alikuwa mwarabu[emoji23][emoji23][emoji23] nani anaweza kunitajia jina lake? Ni marehemu na ana wafuasi[emoji23][emoji23][emoji23]
Kinachojadiliwa kingine na wewe unatuletea habari nyingine.. anzisha na wewe uzi wako wadau wajadili hicho ulichokiuliza, au roho imeuma kusikia kiarabu ukitoa kiingereza ni lugha inayozungumzwa sana duniani?
 
Back
Top Bottom