Leo sita andika makala ndefu, lengo lango ni kujua maoni ya wadau; kati ya Kikwete na Majaliwa, nani anasema ukweli kuhusu sheria zetu za uchaguzi.
Itakumbukwa kuwa, Kikwete katika kongamano la wadau wa sheria, aliweka bayana msimamo wake, kuwa hadhani kama sheria zetu za uchaguzi ni mbaya kiasi hicho.
Katika hali ya kushangaza waziri mkuu mataafu ameibuka na hoja kuwa sheria za uchaguzi zinapendelea chama tawala.
Kwenu wadau wa demokrasia mnadhani nani kati ya Kikwete na Majaliwa anasema ukweli?