Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Single again!Karbu KIgambon Dear[emoji8][emoji8][emoji8]
Ama hakika nitakuwa Mwenyej wako
Kutoka Temeke ni dakika 10 kama ata kaa kwa aziz Ally au kurasini ama TandikaLakini husubiri zaidi ya dakika 15. Kumbuka unachukua muda mfupi katika kipengele cha usafiri kuliko ukitokea popote Dar. Panton hazina changamoto kama daladala au mwendokasi