Kati ya Kimara, Kigamboni na Kinondoni wapi ni bora zaidi kuishi?

Kaishi kinondoni ufike Posta fasta achana na kigamboni na kimara labda kama unataka kujenga
 
Hata Kigogo Mburahati au Luhanga au Mabibo kwa hela hiyo unapata nyumba nzuri ya kupanga. Usafiri ni mwingi hauna shida maeneo hayo.
Hata siku ukiamua kwenda Posta kwa miguu unaweza, ni mwendo wa lisaa limoja tu kwa mwendo wa kijana usiokuwa wa kiuvivu.
 
Ushauri wa kijinga Sana huu
 
Nakushauri upange maeneo ya Morocco, kuna mwendo kasi na watu sio wengi ukilinganisha na sehemu nyingine.
 
Umepata kibarua Posta, kwanini usitafute nyumba huko huko posta? kuna maghorofa na vyumba vya kupanga huko posta, upanga, na kariakoo.
 
Back
Top Bottom