Kati ya Kimara, Kigamboni na Kinondoni wapi ni bora zaidi kuishi?

Option nzuri tafuta Kimara au Ubungo, kuna vyumba vizuri kwa hiyo hela hasa ukipata dalali mwaminifu ambae hana njaa na hela
 
fuata ushauri huu ila jiandae ferry ndio kipengele
Hakuna shida na ferry siku hizi. Gharama ya chumba ni cheap kwa 100k unapata vyumba viwili vizuri kwenye maeneo tulivu. Usafiri wa daladala hata kama utaishi Geza au Kibada bado ni elfu kwa siku na husubiri kituoni zaaidi ya dakika 10, hakuna foleni barabarani. Hakuna joto wala mbanano. Karibu Kigamboni hakuna vibaka
 
panton kuna muda inachelewa kuvusha watu kutokana na kusubiri meli ipite na sababu nyingine za kiufundi.
Lakini husubiri zaidi ya dakika 15. Kumbuka unachukua muda mfupi katika kipengele cha usafiri kuliko ukitokea popote Dar. Panton hazina changamoto kama daladala au mwendokasi
 
Hakuna shida na ferry siku hizi. Gharama ya chumba ni cheap kwa 100k unapata vyumba viwili vizuri kwenye maeneo tulivu. Usafiri wa daladala hata kama utaishi Geza au Kibada bado ni elfu kwa siku na husubiri kituoni zaaidi ya dakika 10, hakuna foleni barabarani. Hakuna joto wala mbanano. Karibu Kigamboni hakuna vibaka
Kigamboni,the best place to stay
 
Kinondoni kuna apartment laki mbili .. nimeshangaa sana...ghorofani...

Kigamboni utakumbana na gharama za internet...fiber haijatambaa sana..
Na kero za maji chumvi na foleni ya kuvuka...

Kimara uswazi Sana ingawa kuna maeneo mazuri lakini mshonano wa mwendokasi hatari...

Kinondoni better...ingawa kama hujatulia utakuwa mtu wa starehe sana
 
Hakuna shida na ferry siku hizi. Gharama ya chumba ni cheap kwa 100k unapata vyumba viwili vizuri kwenye maeneo tulivu. Usafiri wa daladala hata kama utaishi Geza au Kibada bado ni elfu kwa siku na husubiri kituoni zaaidi ya dakika 10, hakuna foleni barabarani. Hakuna joto wala mbanano. Karibu Kigamboni hakuna vibaka
Mkuu unaweza kuniunganisha na dalali wa kigamboni. Hasa maeneo ya mjimwema, kisiwani, darajani.
 
Hakuna shida na ferry siku hizi. Gharama ya chumba ni cheap kwa 100k unapata vyumba viwili vizuri kwenye maeneo tulivu. Usafiri wa daladala hata kama utaishi Geza au Kibada bado ni elfu kwa siku na husubiri kituoni zaaidi ya dakika 10, hakuna foleni barabarani. Hakuna joto wala mbanano. Karibu Kigamboni hakuna vibaka
geza kule mbali at least mji mwema au kibada
 
Back
Top Bottom