Kati ya Kimara, Kigamboni na Kinondoni wapi ni bora zaidi kuishi?

Maximum ni dakika ngapi hadi main road
kuna road alaf kuna main road, kwa bajeti ya laki chumba atapata mbali sana na main road na itamlazimu kupanda bajaji hadi njia kuu ili apande mwendokasi lakini kama atakaa kigamboni nyumba zipo nzuri tu hasa kwa kipindi wanafunzi wa vyuo wanafunga, bajaji adi ferry akivuka anatembea kwa mguu hadi posta.
 
Ndio maana nyumba za laki matangazo ni mengi Kumbe kuna mwendo
 
Back
Top Bottom