Kati ya kitimoto na kuku wa kienyeji, ipi tamu zaidi?

Mshana Jr alishawahi kuuoandisha Uzi wa kuku wa kisasa vibudu, tokea kipindi hicho sina hamu na kuku wa kisasa!
Wale wanaochukuliwa nje ya mji wakiwa wafu, wanaletwa jijini na kutiwa vikorombwezo, futa la haja na marangi gani sijui yale, ananona kama mpya.

Binafsi nikitaka kuku napendelea kwenda kwa wanaouza kuku hai kabisa, wachinje wanipe kuku wangu. Ila sio hawa wa kwenye vibanda vya chipsi, siwaamini hata.
 
Ni hao mkuu!

Siku za nyuma nilikuwa nawala sana! Lakini tokea niusome huo uzi wa Mshana Jr, sikumbuki kama nilishawahi kuwala tena. Kila nikiwaona nahisi kinyaa!
 
Hapo umezidisha dharau mkuu🤣🤣🤣
Sio dharau ila huwa siondoki sehemu km hizo nikiwaachia faida ya waziwazi namna hiyo, hata kwenye vijiwe vya chakula wanaopika ovyo huwa sirudishi jikoni ili wakiuze mara 2 no thank you, nakitafuna tafuna au nanawia natupia tissue hawezi kukiuza tena tayari ni takataka, na hiyo ndio kanuni yangu
 
🥺🥺🥺
 
Wenyeji wake walikuwa na nia gani kuwakaribisha ilhali wanajua si walaji wa hiyo mboga? Walitaka kuwapima imani?
Hapana waliwaambia kua ni kitimoto! Sasa katoto kakangangania kwenda kula..hawa watoto wa kama darasa la pili hivi. Ilikua kama kasherehe fulani kulikuwepo na chakula kingine
 
Back
Top Bottom