Kati ya kitimoto na kuku wa kienyeji, ipi tamu zaidi?

Kati ya kitimoto na kuku wa kienyeji, ipi tamu zaidi?

Pork, mdudu, mnyama, mbuzi katoliki, kitimoto n.k achana naye ana utamu usioisha hamu. Utakula na siku nyingine hamu utaipata tu.

Utaila ya kuoka, kukaanga, roast, makange 😋 n.k bado mtamu. Kitimoto kidumu 💪na sio chama cha mambuzi.
Hii nyama naipenda sana hasa maeneo ya skio na pua ni tam sana catelage flani ivi laini
 
Hii nyama naipenda sana hasa maeneo ya skio na pua ni tam sana catelage flani ivi laini
Aah pua tena? Mimi sili pua, masikio wala ulimi. Siwezi onja labda nichanganyiwe bila kujua. Hongera kwa kula pua ya mdudu ila dah!!!
 
OIG2 (1).jpeg
 
Back
Top Bottom