Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Kati ya kuchoma vifaranga toka kenya na kuchoma vibanda vya machinga hapa ipi ni dhambi kubwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vibanda siyo viumbe hai!Kati ya kuchoma vifaranga toka kenya na kuchoma vibanda vya machinga hapa ipi ni dhambi kubwa??
Mtajuana wenyewe maana vyote vimechomwa na wanaccmKati ya kuchoma vifaranga toka kenya na kuchoma vibanda vya machinga hapa ipi ni dhambi kubwa??
Kati ya kuchoma vifaranga toka kenya na kuchoma vibanda vya machinga hapa ipi ni dhambi kubwa??
Aliyechoma vifaranga vya Kenya anajulikana , ni nani anachoma vibanda vya wamachinga ?Kati ya kuchoma vifaranga toka kenya na kuchoma vibanda vya machinga hapa ipi ni dhambi kubwa??
Kati ya kuchoma vifaranga toka kenya na kuchoma vibanda vya machinga hapa ipi ni dhambi kubwa??
Havikuchomwa??? Kuna kuwekewa utaratibu tu. Jamii yoyote ya ustaarabu huishi kwa ustaarabu kilichofanyika kwa wamachinga wa tz ni ukataka wafuate ustaarbu.... ndiyo utu huo. Hakuna kibanda kimechomwaKwahiyo ndio vichomwe ?
Kati ya kuchoma vifaranga toka kenya na kuchoma vibanda vya machinga hapa ipi ni dhambi kubwa??
Tulipendekeza badala ya kuchomwa virejeshwe vilikotoka , hii ni kwa sababu hakukuwa na ushahidi wowote wa uongo au wa ukweli kwamba vilikuwa na ugonjwa , sasa mbona jiwe aligoma kuvirejesha ?Havikuchomwa??? Kuna kuwekewa utaratibu tu. Jamii yoyote ya ustaarabu huishi kwa ustaarabu kilichofanyika kwa wamachinga wa tz ni ukataka wafuate ustaarbu.... ndiyo utu huo. Hakuna kibanda kimechomwa
Waliambiwa wapangwe wamepangwa
Sioni shida mana hawakuonewa .kuwaruhusu wafanye biashara popote kama ilivyokuwa haikuwa sawa.
Kupinga hilo ni sawa na kukubali watu waliokuwa na vyeti feki waendelee kula mishahara ati KISA hawana kazi nyingine za kufanya !!!!! Japo walistahili kulipwa michango yao maana ni jasho lao
una uwezo mdogo sana wa akili.Nashangaa, mbona sio dhambi Ng’ombe, Mbuzi, Kuku wa nyama, mayai kuchinjwa Na kuliwa kila kukicha ila huto tuvifaranga mdhamini wa Kigogo 14 anasema ni dhambi Daah hii inchi hii[emoji1544]
Watanzania wengi ni wajinga sana.Kuchoma na kuteketeza wanyama mpaka majivu ndo utaratibu kote duniani, hakuna wa kuzika mnyama mwenye magonjwa. Na hata hivyo vifaragha ni ajira ya mtu mmoja tu ama watatu iliathirika.
Je ajira za wamachinga wangapi zimepotea na je wanajua wanaishi je na familia zao huko waliko?