mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Unapokula kuku na chips huwa wanakuwa hawana roho?Vibanda vina roho na vinahisi maumivu kama Vifaranga na binadamu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapokula kuku na chips huwa wanakuwa hawana roho?Vibanda vina roho na vinahisi maumivu kama Vifaranga na binadamu??
Pole sana mkuuKuvunja nyumba za watu Kimara, Mbezi Hadi Kiluvya bila kuwapa fidia na kujua watalala wapi. Wengine tulikua na vitoto vichanga vya mwezi mmoja (mapacha)
Uchungu ule sitaupata tena
Swali kuntuMama ulikuwa wapi haya yakitokea!?
Mkuu mbona unaua Nzi, Mbu, Mende. VP hivi sio viumbe?Vibanda vina roho na vinahisi maumivu kama Vifaranga na binadamu??
Zote Zambi maana kubomoa kibanda cha machinga ni Dhambi kubwa maana uwezijuwa anategemewa na wangapi nyuma yake pia na vifaranga ni Dhambi kubwa maana wangekuwa Tungepata Nyama nzuriKati ya kuchoma vifaranga toka kenya na kuchoma vibanda vya machinga hapa ipi ni dhambi kubwa?
Zile nyumba za watu alizobomoa Kimara unajua madhara yake.Kuchoma na kuteketeza wanyama mpaka majivu ndo utaratibu kote duniani, hakuna wa kuzika mnyama mwenye magonjwa. Na hata hivyo vifaragha ni ajira ya mtu mmoja tu ama watatu iliathirika.
Je ajira za wamachinga wangapi zimepotea na je wanajua wanaishi je na familia zao huko waliko?
asante sana,asipokuelewa basi hafai hata kuwa binadamu.Tanzania kuna watu hata kufikiri kidogo tu hawataki na hapa ndio JF unategemea akili kubwa lakini ukisoma baadhi ya comments unajuwa tunashida kubwa sana katika elimu yetu. kutofautiana sio issue ila hata mtu kujenga hoja tu shida. Kwani alishawahi kuona Simba akizuiwa kuwinda sababu kumuonea huruma nyati au Zebra ni sababu hiyo nature yao lakini utashikwa ukionekana unauwa tembo au Twiga sababu sio nature yetu wao kwa wao kawaida tu. Kuchinja mnyama kwa njia sahihi ni nature yetu na Mungu ndio katubariki katika hili lakini huwezi kuchukuwa rungu ukampiga kuku utaonekana hauko sawa na utakamatwa. kuchinja na kumchoma mnyama ni vitu viwili tofauti.
Mkuu mbona unaua Nzi, Mbu, Mende. VP hivi sio viumbe?
Ng'ombe, Mbuzi, hadi kitimoto anaepigwa lungu la kichwa vp hawasikii maumivu?
Wanafki ktk ubora wenu! Hao kuku mbona mnawachinja majumbani kwanu tena huku mkichekelea?
Wanafki ninyi wauwaji wa damu zisizo na hatia:
Kuchoma vibanda ni jambo jema!!!Kati ya kuchoma vifaranga toka kenya na kuchoma vibanda vya machinga hapa ipi ni dhambi kubwa?
Kuvunja nyumba za watu Kimara, Mbezi Hadi Kiluvya bila kuwapa fidia na kujua watalala wapi. Wengine tulikua na vitoto vichanga vya mwezi mmoja (mapacha)
Uchungu ule sitaupata tena