Bi mkubwa kila anapoongea na kuchomekea huwa anatoa boko, anakinukisha mbaya yaani. Tungependa asiwe anachomekea maneno ya kufurahisha hadhira huwa mwisho yana haribu speech nzima.
Mbowe alikimbia kenya wenzie wamehukumiwa
Wasichana kama hao wacheza mpira kwa muonekano na vifua vyao huwezi kuwapeleka kwa baba yako unataka kuwaoa. Twiga stars
Vibrant democracy and rule of law, geothermal electricity, 4 % percent of our gdp goes to environment sustainable projects.
Wamachinga wapangwe wasibugudhiwe huku vibanda vinavunjwa
Tulichoma vifaranga dhambi kubwa, wamachinga je,Mbowe je sio dhambi
Mimi na hayati ni kitu kimoja, Viatu vya hayati ni vikubwa, ngekewa ya uongozi ikiakuangukia itimize.
Wasukuma wanafuga mifugo mingi inaharibu vyanzo vya maji
Kuna umuhimu wa kumpa mawazo mazuri anapoongea na public si lazima mengine ayatamke